Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Sikujua SGR ya Kenya imefika Kampala. Ama Kingereza ndio kimekupita kama kawaida yenu?😂😂Babu Museveni anasema hiyo Reli ya kunyaland hadi Kampala unatumia 14 days kutoa mzigo toka msa port... Kwa Reli hiyo mpya ya Uganda utatumia only 24hrs...
Bado tu huogopi!?