Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mambo yanaendelea kutunyokea. Teargas na Mama Ngina wanapoteana

1732202369061.png
 
Hii TARURA ama ?😂😂😂👇👇👇

View attachment 3157929
Glad umekuja mwenyewe 😂😂 sasa fanya hivi, chukua hizi 👇🏾
IMG_3003.jpeg
changanya na hizi. 👇🏾
IMG_2997.jpeg
.. hesabu itakuja hivi.

TARURA 3,337 km lami
TANROADS 13,660 (2021 complete data)

3,337km+13,660km= 16,997. = 17,000 km.

Hivyo basi kwa data tu za Tanroads za 2021 + data za TARURA 2023. Ni dhahiri shahiri ya kwamba kuna barabara za lami 17,000km in Tanzania. 😂😂😂
 
Glad umekuja mwenyewe 😂😂 sasa fanya hivi, chukua hizi 👇🏾View attachment 3158041changanya na hizi. 👇🏾View attachment 3158043.. hesabu itakuja hivi.

TARURA 3,337 km lami
TANROADS 13,660 (2021 complete data)

3,337km+13,660km= 16,997. = 17,000 km.

Hivyo basi kwa data tu za Tanroads za 2021 + data za TARURA 2023. Ni dhahiri shahiri ya kwamba kuna barabara za lami 17,000km in Tanzania. 😂😂😂
Mko na 10,000km wewe baboon😂😂😂. 10,000km za Tanroads plus 3,000km za TARURA when the total is rounded off mnarudi 10,000km😂😂
 
Back
Top Bottom