NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,974
Hiyo sikuona😂😂90% of them here ni fraud, jana baboon aka Sama boy 255 pia alidownload msosi😂😂
Hiyo sikuona😂😂90% of them here ni fraud, jana baboon aka Sama boy 255 pia alidownload msosi😂😂
Mbezi Nairobi.Mbezi ipi kijana?
akili gani wanayotumie ikiwa escavators and wheeloader zinakuja over 15 hrs baada ya tukio alaf tunaongea nn hapa
View: https://x.com/_itsmalume/status/1857895079651979399?s=46
Wadanganye ambao hawaijui Nairobi.Kwani vichororo sio barabara? As long as they are tarmacked we count them as paved roads. In Kenya we don’t leave any stone unturned, are you aware that every road in Kibera slum is tarmacked?
Right now we are tarmacking all roads in Korogocho slum
View attachment 3155689
View attachment 3155690
View attachment 3155691
View attachment 3155692
View attachment 3155693
Shida yako unadhani mitaa ya Nairobi inakaa hivi.Wadanganye ambao hawaijui Nairobi.
Hio Nairobi hata km 400 hazifiki.
Nyinyi mnapika data eti 7000km...hiv mnajua Km hata 1000 nyinyi.
Anyway labda mnapika data ili muonekane
Hebu Tazama hii video mpaka mwisho. Hii ni sehemu tu ya Mbezi beach.Shida yako unadhani mitaa ya Nairobi inakaa hivi.
![]()
Hebu Tazama hii video mpaka mwisho. Hii ni sehemu tu ya Mbezi beach.
Dar hatupiki data kama nyinyi.
View: https://youtu.be/7ofrTy0FKbs?si=py6nO3_jn1wk3MhD
I saw only one decend road. It's not even that good, no drainage na vumbi nyingi pembeni alafu ukiangalia hiyo barabara kuna barabara za vumbi zimebranch kutoka hapo. Mimi nakuonyesha a whole neighborhood. Hapo Dar mna tabia ya kutengeneza main road pekee alafu barabara za access zinakua vumbi.
About cooking figures, do I need to remind you which country in this region has been red flagged as a hotspot for cooking figures? Stop projecting.
View attachment 3155884View attachment 3155885View attachment 3155886
Compare that with a high end neighborhood in Nairobi like Rosslyn utaona hiyo mbezi kama slum, hutaona barabara ya vumbi hata moja. Ni lami ama Cabro hadi kwa gate. Hapo mmezoea lami kwa main road pekee ndio maana mnashangaa vipi sehemu ndogo kama Nairobi ina lami 700km.
View: https://www.youtube.com/watch?v=RPlsDncsn5Q&t=3s
Hii kampuni imeishia wapi? 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DAp3MhbqyCK/?igsh=cDd3dzE3NWxqYmF0
Naona wame launch flights huko Kundustan View attachment 3155763[