ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
ni kweli tatizo ni kocha wetu mpemba hata mm nilishangaa kwann kocha mpemba kamuacha msuva😂😂😂Msuva ndio awe nahodha Huwa anajituma na anaisaidia Timu
ni kweli tatizo ni kocha wetu mpemba hata mm nilishangaa kwann kocha mpemba kamuacha msuva😂😂😂Msuva ndio awe nahodha Huwa anajituma na anaisaidia Timu
kuongezeka sana hapana itategemea ni hatua gani tutafika kama ni yale yale yakuishia makundi basi ujue hatutopanda sanaBaada ya Afcon 2025 rank yetu ya FIFA itaongezeka sana.
Kumbe Mabati Rolling Mill was in the nomination lakini imepigwa kofi na JKIA.
View: https://x.com/KenyaAirports/status/1847540753402056872
Habari yako Simon Leole.
Mabati rolling is not an airport worth recognition.Mmeanza tena kuhangaika, siku hizi hamtutishi kwa ground vitu viko wazi, eti mpk Capetown
Acha uongo nilikuwa kwenu juzi tu hadi wafanyakazi wa JKIA wenyewe wanatii Julius Nyerere T3 ni noma, bado Msalato hapo…Kenya mmesimama, mnapigwa mikasi tu na tax za Zakayo.Anachagua pakuweka, si mlikataa financial bill, amekuja kivingine kimya kimya, ni mwendo wa kodi kausha damu, kazi mnayo 😂Pole kwa hasira. JKIA is the leading airport in Africa and KQ is the leading airline in Africa. Sasa ukipenda upige nduru😂😂
Unataka picha za Wilson Airport?!😀Mabati rolling is not an airport worth recognition.
Ingekuwa Mabati rolling mill ni no a basi mbona hawakupata tuzo la the best airport in Africa? Na hao wafanyikazi wenye walitii ni akina nani? Ebu wataje tuwajue.Acha uongo nilikuwa kwenu juzi tu hadi wafanyakazi wa JKIA wenyewe wanatii Julius Nyerere T3 ni noma, bado Msalato hapo…Kenya mmesimama, mnapigwa mikasi tu na tax za Zakayo.Anachagua pakuweka, si mlikataa financial bill, amekuja kivingine kimya kimya, ni mwendo wa kodi kausha damu, kazi mnayo 😂
Hiyo Wilson ndio size ya Mabati Rolling Mill yenu.Unataka picha za Wilson Airport?!😀
Unavaa masuti yametafunwa na ng'ombe ndo yakatemwa viatu kama watu wa mjengoBro achana na takataka, mbona uvae rugs?
Wewe ni masikini mkuu mbona Iko wazi umevaa masuti mabovu maviatu kama ya Masai huo utajiri umeutoa wapi?Bro mimi sio maskini kama wewe, no wonder unavaa rugs. Hapo hata sio kwa fuel, hapo ni penye huwa napark gari.
Ila ule mwembe ndio Airport sio?Mabati rolling is not an airport worth recognition.
Nginjangija linanuka diesel na Moshi wa makaa ya mawe wewe unaitwa luxurious?