Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SADC is taking over AFCON Kati ya Team 24, Tisa kutoka SADC

  1. South Africa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ qualified
  2. Zimbabwe ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ qualified
  3. Botswana ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ qualified
  4. Zambia ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ qualified
  5. Mozambique ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฟ qualified
  6. Angola ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด qualified
  7. Comoros ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ฒ qualified
  8. Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ qualified
  9. Congo DR ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ qualified
Mm huwa nawaambia hawa wanatufosi kuwa ukanda wao wa East lkn sisi ni wa South.
 
Yaani Hawa kila kitu hawawezi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿšฎ
View attachment 3156547
Huwa wanakurupuka katika maamuzi ili waonekane wapo juu ya Tanzania, matokeo yake wanafeli kila siku, sitoshangaa hao mgambo wao wakakosa hata nauli ya kurudi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Mm huwa nawaambia hawa wanatufosi kuwa ukanda wao wa East lkn sisi ni wa South.
Nchi za ukanda wao ni hizi. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

1732080159451.png
 
Huwa wanakurupuka katika maamuzi ili waonekane wapo juu ya Tanzania, matokeo yake wanafeli kila siku, sitoshangaa hao mgambo wao wakakosa hata nauli ya kurudi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Nchi zao hizi hapa zinasifika kwa kuikimbiaji. Wanakimbia hawa ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Je umewahi ona wahanga wamekosa mahitaji kisa kusubiria michango?

Michango ni hiari kulingana na watu walivyogusa.

Serikali inawatibu Bure,imegharamia masishi,imewaokoa nk ila haiwezi wapa pesa Kwa sababu sio wajibu wake but wafiwa Watapata pole.

Serikali ya Suluhu haijawahi kula pesa za wahanga kama serikali ya Mwendazake alipokula pesa za wahanga wa tetemeko.

Jana nilifurahi sio Kwa sababu ya Taifa Stars ila Kwa haters kuumbuka maana mlitaka Stars isifuvu mumzodoe Rais.

Kwa taarifa yenu tuu mtaumia sana yaani mnavyoongeza chuki ndivyo nyota inang'aa.

Waulizeni Machadema wako wapi saizi ,Samia ana leadership intelligence na nyota Kali sana ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://x.com/SuluhuSamia/status/1858906985141317698?t=ZntfwMOtSTLOTPFaM56rZg&s=19

wahanga wanasubiri michango kutoka kwa watanzania ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป wengine wanapndishwa kwenye kirikuu haya ndio maendeleo tunayojisifu nayo, labda nikuulize kwann michango ichangishwe kwa watanzania kama serekali inaweza kutoa??? kwann watu kuingia uwanjani bure michango haijaletwa kwa wananchi, au ndio tunajifichia kwenye mpira na AFCON ionekane nothing happened

sijawahi kuona aiseeee
 
Wewe toa mchango waja upuuzi, account ya serikali ipo.

Serikali ya Samia haili michango kama serikali ya Mwendazake.

Mwisho kazi inaendelea huku ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/DClKY1LvM22/?igsh=MWdnZDY5OGlvaDlnaw==
 
Nchi zao hizi hapa zinasifika kwa kuikimbiaji. Wanakimbia hawa ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Sio kukimbia tuu na kukimbia kwao pia ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Hamna kocha mule. Anatembelea ukubwa ya viwango vya ligi yetu.
hehehehhehe yani ChoiceVariable anafkiri tanzania haijawah ku qualify AFCON sasa atuambie 1980 tanzana iliingia kwa nguvu ya nani???๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

tanzania ishafuzu mara kadhaa sio juzi wala leo tunachohitaj taifa stars ifike walau robo fainali, tuwe na academy za mpira sio tunatumia pesa nyingi kuwapa posho wachezaji yet huku chini kumeoza hatuna zao lakimpira totaly
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป
IMG_1200.jpeg
 
bila yeye kwamba kafanya nn kahonga refa au kahonga CAF ?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

sometimes uchawa ni kama laana vile
Niko sure ukimuweka ignore list hizi unnecessary comments zitapungua humu.
 
mbona taifa stars sijatoa mchango sasa?

kwann tusitoe na taifa stars ??๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

au ng'ombe wa maskini hazai ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Stars Wachangiwe kwani Kuna msiba?

Wewe Huwa unachangia wagonjwa? Toa mchango Wacha upuuzi
 
Back
Top Bottom