Mzee, unafeli sio mbili, ni tatu2 back to back AFCON qualifications (and a 3rd coming up via Host Nation in 2027) is not an easy thing to achieve. On top of that we did it with a local coach this time. Hongera Stars!!!
Steps in the right direction.
Wangeshinda hata goli 100+ wangekuwa na points 8, Zimbabwe ana 9. Labda wapite kuzimu.Wangefunga goli walau 2 walikua wanapita Kwa goal difference .
Baada ya Afcon 2025 rank yetu ya FIFA itaongezeka sana.Hawa wazuri wa kupika data na kuamini data za kijinga!
Bgoja waje na fifa ranks hapa waku9neshe walivyo juu!
Hawa majirani ni wataalamu wa kuangalia AFCON kwenye TV 🤣🤣🤣🤣HURREEEE IT'S OVER tumeenda tumewafunga bwana majirani na ninyi mkazeeee
We nyangau acha maneno mengi tupe hongera zetu basi.So nijifiche because Tanzania imequalify for AFCON which they are going to end up losing games zote? Hata haiezinisumbua akili.
Na wale haters waliosubiria kumzodoa Samia 😂😂😂👇👇
View: https://x.com/420Cousin/status/1858886790767108149?t=EkR_HiPzPDIqog3aR77iBQ&s=19
Hawezi kutoa hongera huyo nyang’au. Leo siku nzima nimemsikia analia tu😁We nyangau acha maneno mengi tupe hongera zetu basi.
Tutawakilisha East Africa ikiwa ni pamoja na Kenya kwahiyo muanze kuzoea kutushangilia AFCON 2025. Nyie msubiri AFCON ya mbeleko 2027 🤣🤣🤣After kufuzu mtafanya nini huko? Ama unasahau Tanzania haijaisha Sa any game ya AFCON? Hao wote wenye unataja have won so many games.
Haters kina ichoboy01 and the likesnaitwa huku 😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DCjputePbo5/?igsh=eGN6OWQ0dmhqN3Q5
alaf yule kocha mpemba hakumuita kwasababu gani? nilikua najiuliza sanaMsuva asee aendelee kuwa Taifa Stars hata kama hana timu jamaa ana bahati na hiyo timu ukiangalia ni game changer mkubwa.
😂😂😂😂 hawana chakujisifia sasa wacha watumie nguvu nyingi kusifia simba na yanga na taifa starsAcha kutuharibia ushindi na kujishikiza na uchawa katafuta point zenu kwenye Mambo mengine.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ameingiaje hapa au unataka na STAZ ianze kuwa ya siasa?
Ngoja nikuharibie zaidi. Ni hivi kadiri unavyoweka chuki Kwa SSH ndivyo unampa baraka.
Samia ana nyota Kali sana na Bado mtaona mengi Mazuri yajayo ,hii inaitwa usiyempenda kaja.👇👇
View: https://x.com/shaffihdauda1/status/1858890086118506546?t=fWVg7Gq5fVmlLvHPHutFnQ&s=19