Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

After kufuzu mtafanya nini huko? Ama unasahau Tanzania haijaisha Sa any game ya AFCON? Hao wote wenye unataja have won so many games.
Umia mzee hakuna namna ulikua umeandaa maneno mengine tusingepita. Endelea tu. Tupo Morroco live 2025. Usisahahu kulipia king'amuzi.

Usisahau pia madogo walienga AFCON kwa kuwapaka mafuta nyie.
 
Mm niliwaambia kitambo kwamba hawatofuzu Afcon kwasababu ligi yao ni dhaifu mnoo na wachezaji wao wengi wanatokea kwenye ligi yao dhaifu, wachache kama Abuya ndiyo wanacheza ligi ya ushindani kama NBC, so ulitegemea wangefuzu? Na hata Afcon ya 2027 hawatoshiriki mana hawatoandaa kutokana na uchumi wao hafifu, huo uwanja wanaojengewa na wachina utakuwa gofu mana hautatumika.
 
Umia mzee hakuna namna ulikua umeandaa maneno mengine tusingepita. Endelea tu. Tupo Morroco live 2025. Usisahahu kulipia king'amuzi.

Usisahau pia madogo walienga AFCON kwa kuwapaka mafuta nyie.
Mbona niumie? Kuna vitu za kuniumiza and Tanzania is not one of them.
 
Back
Top Bottom