Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umekosa vyote ukahamia satellite? Ambayo haieleweki? Yenye data sisizokua updated?
Haziko updated kivipi? 😂 😂
Yani nyinyi wabongo mnaweza kana hadi mama zenu wasipoongea mnachotaka kuskia. Nimekujibu hapo juu, Google maps updates every 1-3 years. Itakuwaje inaupdate sehemu zingine zote ispokuwa Dar? Kubali eneo kubwa la Dar halina barabara.😂
 
Wacha uongo bro, Google maps Satellite view inaupdate every 1 - 3 years. Kwa hivo the oldest satellite image ya Google Maps inaweza kuwa ni 2021.
Nairobi CBD bila filter.....

Mnaziona hizo KM 7000 za lami ya Nairobi

Nakumbuka nilikuwa Nairobi kipindi wanarenovate hizo pedestrian walkways na roads za Nairobi CBD like 2 years ago.
Sasa ndo zimekuwa hiv?
Yule Governor wenu Madimpo anafanya nini?
Nairobi is a decaying city...only elite kenyans can see that
1732001081518.jpg
 
Hivi tunaongelea ukubwa wa Estate ama quality ya infrstructure? Si ni wewe unashinda humu ukisema Nairobi hakuna horizontal infrastructure? Sasa hiyo Mbezi unaweza fananisha na Rosslyn? FYI, Estate zote za Kifahari za Nairobi ziko hivo, sio Rosslyn tu. That is including Karen which is bigger than all your high end neighborhoods combined and way bigger than Mbezi. Runda hii hapa. Nionyeshe barabara moja isiyo na lami nihame huu uzi.


View: https://www.youtube.com/watch?v=qK1RW5MkF1Q&t=349s



Coincidentally hiyo Marangu naijua vizuri sana.
It is a beautiful wealthy village but that'is it. It is a rural village and it's laughable to compare it to Rosslyn which is a top rated urban neighborhood. There are several villages in Kenya like Marangu FYI, but they're villages. Ni barabara moja ya lami alafu kuna farmlands. Roads connecting to the main road are not tarmaced. They're ordinary rural roads maintained by the owners of the farm. The fact that you have to bring a rural village to fight your wars about Dar es Salaam is clear indication hata wewe unakubali Mbezi ni mtaa wa ovyo. Hiyo Mbezi ukiileta Nairobi Youtube inaweza jaa hizi video mnazoshare humu za kuonesha hali mbaya ya barabara Nairobi.


Nimekwambia unaona 7000km ni nyingi kisa hapo Dar barabara ni mainroad pekee. Wewe unajua a grid of roadwork vile inavyokua barabara ndefu ukiiweka kwa straight line?
Halafu Dar Province is about twice (Not thrice) the size of Nairobi County but usisahau 40% of the province ni ushagoo. Wacha nikuoneshe kwa evidence. Nakupa assignment, nenda Google map ukazoom anywhere kwa hilo eneo nililohighlight (Almost the size of Nairobi) Unioneshe barabara moja tu ya lami (Sio mbili, moja tu) alafu utaona ulivyo mjinga unaposema Dar ina barabara nyingi kuliko Nairobi kisa ina eneo kubwa.
View attachment 3156321

Unachukua picha za kibarabara kimoja kimoja ukishare eti Nairobi ina pothole. Alafu picha zenyewe ni barabara za lami zilizo na pothole wakati most of Nairobi roads are in good shape. Meanwhile, hapo Dar unapata mtaa mzima wa kifahari barabara zote ni vumbi na unaona uko sawa. Ajabu ya kipofu kumcheka chongo.

20221124_135741-jpg.2439637

Aisee kwamba kigamboni yote haina lami.? 😂😂😂😂 anyways nitakurudia kuhusu hili, kwasasa ni Taifa stars time.
 
Kama ni hivyo how the hell hatuioni hata nyumba tuliyojenga?
Sijui nyumba yako iko wapi. Labda wewe ndiye hujui kuitumia Google maps ama huna spatial intelligence ya kutafuta the exact location ya nyumba yako kwenye Google maps. Mimi niliijenga nyumba yangu ushagoo from July 2020 to August 2021. By November 2020 niliona foundation kwa Google maps. By October 2021 niliona roof kwa Google maps. Jengo la 1870 West pale Westlands limekuwa topped up huu mwaka already lipo Google maps. Kama uko technologically challenged sema usaidiwe.
Screenshot 2024-11-19 200953.png
 
Sijui nyumba yako iko wapi. Labda wewe ndiye hujui kuitumia Google maps ama huna spartial intelligence ya kutafuta the exact location ya nyumba yako kwenye Google maps. Mimi niliijenga nyumba yangu ushagoo from July 2020 to August 2021. By November 2020 niliona foundation kwa Google maps. By October 2021 niliona roof kwa Google maps. Jengo la 1870 West pale Westlands limekuwa topped up huu mwaka already lipo Google maps. Kama uko technologically challenged sema usaidiwe.
View attachment 3156365
Eti Technologically challenged?
 
Sijui nyumba yako iko wapi. Labda wewe ndiye hujui kuitumia Google maps ama huna spartial intelligence ya kutafuta the exact location ya nyumba yako kwenye Google maps. Mimi niliijenga nyumba yangu ushagoo from July 2020 to August 2021. By November 2020 niliona foundation kwa Google maps. By October 2021 niliona roof kwa Google maps. Jengo la 1870 West pale Westlands limekuwa topped up huu mwaka already lipo Google maps. Kama uko technologically challenged sema usaidiwe.
View attachment 3156365
Roads of Capital city of Kenya. The so called the most developed city in Africa.
1732032672128.jpg
 
Maybe hajui kutumia google maps lakini hataki kusema😂😂
That na pia spatial intelligence ako chini. Unajua most people ukiwapea computer uwaambie watafute nyumbani kwao kwa Google maps watashindwa? No everyone has an SQ high enough to do that.
 
Back
Top Bottom