Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na leo yamekaziwa tena haya masenge 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20241119-181401_1.jpg
 
Siku zote huwa nasema takwimu za caf siziamini, Afcon ya tatu hii Tanzania inafuzu alafu haya masenge hayafuzu wala nn eti bado takwimu uchwara zinawaweka juu yetu, nafikiri now wakenya watakubaliana na mm kwamba tupo juu yao kisoka.
Mnafuzu lakini hakuna games mnashinda huko, tofauti ya Tanzania na Somalia kwa AFCON ni zero. Siku mtashinda game AFCON mojo tuongee😂😂
 
Alafu watakuambia wako sawa na Tanzania kwenye soka kisa vi takwimu uchwara. Ladies and Gentlemen the football nation to Afcon again 🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ajabu sana iliyopita UGANDA hakwenda by Rank yupo juu, Zambia tumepiga by Rank Yuko juu, still eti hatusogei kuna wajinga wanakula bakora daily.

Hapo guinea yupo 78 bado utashangaa eti hatusogei wakati tumekung'uta Zambia Away, Guinea nje ndani na tumefuzu.
 
After kufuzu mtafanya nini huko? Ama unasahau Tanzania haijaisha Sa any game ya AFCON? Hao wote wenye unataja have won so many games.
 
Back
Top Bottom