Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Nimetazama video ya hiyo mbweni and I can confidently say that most Nairobi neighborhoods has better roads kuishinda. Even Milimani in Kisumu imeishinda mbali.Aise nimeziangalia hizo barabara za hako ka estate/ mtaa ambao ni extension ya Runda by the way...kwanza ni low quality na hazina pedestrian walkways wakati ni residential area. Halafu mnaita poshy and rich.
Hebu twende kwa richest in Dar mbweni. Utazame barabara zilivyo na sidewalks, wide, clean etc....
NB. Mbweni=Runda, kitsuru,Giligil,karen, Rosslyne, Ridgeway, windsor and Muthaiga. Huku kwetu tunaita mitaa hiyo ndani ya kata/ward mfano Mbweni
I lived In Nairobi and I know what am writting