much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,065
- 21,549
Majuu ndo wapi wewe kibera dweller?Huwa anatupostia hapa picha eti ako majuu. Naona kama anaambianga mtu ampigie picha amtumie. 😂😂😂.
Majuu ndo wapi wewe kibera dweller?Huwa anatupostia hapa picha eti ako majuu. Naona kama anaambianga mtu ampigie picha amtumie. 😂😂😂.
Mjiandae talanta kufugia kuku,2027 ni TZ na uganda ndio zita host AFCONHeri tulipe kuliko kuenda kujiaibisha AFCON vile Tanzania imezoea.
Mbona Kwa hiyo picha ya kwanza Kuna kinyesi Cha binadamu juu ya paa?Kwani vichororo sio barabara? As long as they are tarmacked we count them as paved roads. In Kenya we don’t leave any stone unturned, are you aware that every road in Kibera slum is tarmacked?
Right now we are tarmacking all roads in Korogocho slum
View attachment 3155689
View attachment 3155690
View attachment 3155691
View attachment 3155692
View attachment 3155693
Vyote kafanya Utajua hujuibila yeye kwamba kafanya nn kahonga refa au kahonga CAF ?😂😂😂😂😂😂
sometimes uchawa ni kama laana vile
Vyote kafanya Utajua hujui👇👇bila yeye kwamba kafanya nn kahonga refa au kahonga CAF ?😂😂😂😂😂😂
sometimes uchawa ni kama laana vile
Je umewahi ona wahanga wamekosa mahitaji kisa kusubiria michango?alaf suluhu ya wahanga huko kariakoo inasubiriwa michango ya watanzania😂
akili yako unafkiria ni haters tu mtu akisema ukweli basi ni hater
Eti Lightly, uko na illusion ya ajabu. Mna nini cha maana Hapa EA?I like how Kenyans are taking your jabs lightly in the comments. Ingekuwa the other way round ingekuwa disaster. Mngeidiscuss Hadi kwa parliament. Kila Mtanzania angekuwa Analia vile Kenyans are evil people. I hope you'll maintain the same civility tukianza banter zetu.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Maneno meeeeengi utekelezaji zero. Ndi tabia za KundudwellersI like how Kenyans are taking your jabs lightly in the comments. Ingekuwa the other way round ingekuwa disaster. Mngeidiscuss Hadi kwa parliament. Kila Mtanzania angekuwa Analia vile Kenyans are evil people. I hope you'll maintain the same civility tukianza banter zetu.
SADC is taking over AFCON Kati ya Team 24, Tisa kutoka SADCI like how Kenyans are taking your jabs lightly in the comments. Ingekuwa the other way round ingekuwa disaster. Mngeidiscuss Hadi kwa parliament. Kila Mtanzania angekuwa Analia vile Kenyans are evil people. I hope you'll maintain the same civility tukianza banter zetu.
Africa power house in football south of Sahara ni SADC ikiongozwa na South Africa then Tanzania and DRC in that order.SADC is taking over AFCON Kati ya Team 24, Tisa kutoka SADC
- South Africa 🇿🇦 qualified
- Zimbabwe 🇿🇼 qualified
- Botswana 🇧🇼 qualified
- Zambia 🇿🇲 qualified
- Mozambique 🇲🇿 qualified
- Angola 🇦🇴 qualified
- Comoros 🇰🇲 qualified
- Tanzania 🇹🇿 qualified
- Congo DR 🇨🇩 qualified
Nginjanginja limesafirisha abiria wangapi vile katika kipindi cha miaka 7?
Ni kwasababu sisi tunapenda mpira, kwetu mpira ni kama ibada na ndiyo maana unaona viwanja vina jaa daily, nyie mpira sio passion yenu mnafosi ili muwe sawa na Tanzania lkn nature inawakataa.I like how Kenyans are taking your jabs lightly in the comments. Ingekuwa the other way round ingekuwa disaster. Mngeidiscuss Hadi kwa parliament. Kila Mtanzania angekuwa Analia vile Kenyans are evil people. I hope you'll maintain the same civility tukianza banter zetu.
Ulielewa post ama unapayuka tu? What has taking jabs lightly got to do with what you think we have or don't have?Eti Lightly, uko na illusion ya ajabu. Mna nini cha maana Hapa EA?