Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Wamezoea kupika data wanadhani Tuko kama wao😂😂Hadi data za FIFA mnasema tumepika. Unajua mwizi kila siku hushuku mwenzake kuwa mwizi. 😂 😂
Wamezoea kupika data wanadhani Tuko kama wao😂😂Hadi data za FIFA mnasema tumepika. Unajua mwizi kila siku hushuku mwenzake kuwa mwizi. 😂 😂
I don't remember ilikua lini hiyo maana hata KENYA SIJUI KAMA HATA IKO AFCONDon’t you remember when Kenya raped Tanzania at AFCON? Tag me the day mtawin a game at AFCON.
Hii shule ingekuwa Tanzania the compound ingekuwa vumbi throughout.
View: https://x.com/ndindi_nyoro1/status/1858726830032749032
That’s a constant question, nitaacha kukuliza Hilo swali wakati mtashinda hata game moja at AFCON.Naona unaweweseka mpaka unarudia maswali yale yale?
#AFCON2025MORROCCO
Wangefunga goli walau 2 walikua wanapita Kwa goal difference .Hata wakishinda haina mana washatoka hao non football nation.
Hawa kunyaland AKA Nyang"au sijiui wamerogwa na nani wamekuwa kichwa cha mwendawazimuNa leo yamekaziwa tena haya masenge 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3156305
Mkuu kukusanya point kila mchezo unaocheza.Siku zote huwa nasema takwimu za caf siziamini, Afcon ya tatu hii Tanzania inafuzu alafu haya masenge hayafuzu wala nn eti bado takwimu uchwara zinawaweka juu yetu, nafikiri now wakenya watakubaliana na mm kwamba tupo juu yao kisoka.
Facts are stubborn bro. Unaweza nidanganya hapa ila huwezi danganya satelite ya Mzungu.0 paved Roads? Unaongea kama nani?
I think this people are used to muddy and dusty roads, jana nilishara a picture of slum roads being tarmacked, do you know what they said? Ati mbona serikali ya Kenya ijenge barabara ya lami kwenye slums. It’s for them tarmacked roads are only preserved for the super rich people and highways😂😂😂Alafu wangekuwa wameishare humu mara mia. 😂 😂
Ebu rusha ile article ya World Bank na IMF yenye inasema wanapika data. 😂 😂Wamezoea kupika data wanadhani Tuko kama wao😂😂
Point kaka point,wenzetu walikusanya point nyingi,tunatakiwa tukusanye point zaidi ili kuwafikia.Ajabu sana iliyopita UGANDA hakwenda by Rank yupo juu, Zambia tumepiga by Rank Yuko juu, still eti hatusogei kuna wajinga wanakula bakora daily.
Hapo guinea yupo 78 bado utashangaa eti hatusogei wakati tumekung'uta Zambia Away, Guinea nje ndani na tumefuzu.
Wanashangaa kwao mbezi kwa matajiri hakuna lami itakuwaje Korogocho kwa maskini kuwe na lami? 😂😂I think this people are used to muddy and dusty roads, jana nilishara a picture of slum roads being tarmacked, do you know what they said? Ati mbona serikali ya Kenya ijenge barabara ya lami kwenye slums. It’s for them tarmacked roads are only preserved for the super rich people and highways😂😂😂
Wataanza kulia hapa ati World Bank na IMF wanawachukia😂😂😂. Actually that statement usually leaves me laughing hard na kujiuliza, Tanzania iko na nini ndio ichukiwe na World Bank and IMF😂😂Ebu rusha ile article ya World Bank na IMF yenye inasema wanapika data. 😂 😂
Ukiwa mzima kichwani huwezi panda kwenye Hilo takataka 😂😂👇👇
View: https://x.com/Kenyans/status/1858837688205316520?t=1lHji7nsyBCQQ_QyH4rfsw&s=19
Nimekuuliza swali, hapa ni wapi? Wacha kupiga makona.Unajua hata kuna mbezi mbili?
Maneno mengi wakati mtu akiingia Nairobi tu ni full uchafu etc
Hebu panda uje ujionee si mna vloggers wenu wanakuja daily?
#AFCON2025MORROCO
Waambie how football works waelewe. Watchman andhani football ranking ni kama kurusha mwizi na rungu yenye amezoea😂😂Point kaka point,wenzetu walikusanya point nyingi,tunatakiwa tukusanye point zaidi ili kuwafikia.
We unajua point alizokusanya Zambia mkuu!?
Msimu uliopita Afcon wewe si ulibaki nje Zambia akapita kwenda hatua ya robo!?
Unampitaje kwa kumfunga mechi moja!?
Yani FIFA inatoa takwimu independently, wanalia eti tumepika data. Hawa majamaa bana. 😂😂Wataanza kulia hapa ati World Bank na IMF wanawachukia😂😂😂. Actually that statement usually leaves me laughing hard na kujiuliza, Tanzania iko na nini ndio ichukiwe na World Bank and IMF😂😂
Satellite????Facts are stubborn bro. Unaweza nidanganya hapa ila huwezi danganya satelite ya Mzungu.
Nioneshe kwa hili eneo nililohighlight barabara moja ya lami. Nenda Google maps uzoom. Usione nawaonea.
View attachment 3156346
Tanzania inatakiwa izidi kupambana kukusanya point kufika juu.Waambie how football works waelewe. Watchman andhani football ranking ni kama kurusha mwizi na rungu yenye amezoea😂😂