Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yani mpaka wakat mwengine hua nacheka tu, mtu anazungumzia REA na tunajua REA ina tozo kwenye luku na mafuta alaf anazungumzia tena loan ya REA ukiwahoji wanaanza kutukanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ikiwa kama miaka mitatu imekata miradi aliyoiacha msukuma bado aijaisha nadhani wenye akili timamu watanielewa miradi inahitaji muda hata yeye angekuwepo ingekamilika kulingana na muda husika wa miradi.
waambie wakuoneshe miradi ya kutoka makutopora kwenda tabora na tabora kwenda isaka uone watakavokimbia humu ndani alaf waulize mikataba imesainiwa lini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
aliyoyafanya magu hakuna rais angeweza hata kuthubutu kwa robo yake kwanza kitendo cha ku force bwawa la nyerere kujengwa pamoja na vikwazo na vitisho kutoka world bank pamoja na UNESCO hakuna rais angeweza hata kusogeza pua kwa kua na roho ngumu, yule jamaa alikua ni real fighter, hata SGR world bank ilikataa kutoa mkopo wakapendekeza tufufue MGR ila jamaa akagoma alasema tutaanza kujenga kwa pesa zetu phase 1 tena kwa kutumia nguvu nyingi sana, hata daraja la kigongo busisi ilikua ni jambo la ujasiri mkubwa sana, achilia mbali flyover ya kwanza na intwrchange ya kwanza tanzania toka nchi imepata uhuru alaf leo munakuja kuongea pumba hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

hawa wakenya waulize ni rais gani mpaka leo wanamlilia na walimchukia kwasababu ya kuiamsha tanzania iliokua imelala usingizi mzito

kila mkenya akiona SGR anakwambia magufuli alifanya kazi wao wenyewe wanasema kwenye comments na tunaziona

kwani hii thread ilipata jeuri kipindi cha nani kama sio magufuli situlianza kutunisha misuli hapa kipindi chake au leo mumesahau, leo nyerere national park inapokea watalii wengi ni nani alileta wazo hilo na akatekeleza pamoja vikwazo vya UNESCO au tumesahau leo πŸ˜‚πŸ˜‚

wakenya wanamchukia magu kwasababu alituamsha kwenye usingizi mnono ndio maana tunaitwa a sleeping giant

pumba gani hzi unaongea wewe ??
leo tunaisifu TARURA inafanya kazi vzr na kwa ufanisi lakini mwenye maoni ya TARURA mumemsahau πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
tukisema hvi tunaonekana wasaliti na shida kubwa hawataki kuambiwa ukweli wao wanataka kusifia tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
alaf aliekuja na wazo la kujenga magati ya kisasa na akajenga bandari hamumtaki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

leo tunasifia DP world je munakumbuka bila maamuzi magumu ya kupanua bandari ya dar na kuongeza kina unafkiri leo mungemuona DP world hapa ???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bandari zipo deep kuliko Dar ,hakuna haja ya kuchimbua Wala kujenga nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…