ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,431
- 85,268
Tunaanza na sekta ya Michezoanza sekta yoyote alaf nikuulize maswali ๐
-Benjamin Mkapa imekarabatiwa mara 2,wakati wa uzinduzi wa AFL na Sasa wakati wa maandilozi ya Afcon 2027,in both cases ni billions of money
-Serikali imeweka nyasi bandia viwanja vyote vikubwa na kufunga taa kuanzia CCM kirumba Hadi Dodoma
-Serikali inajenga Sports Complex ya Malya
-Serikali imetoa mikopo Kwa wasanii
-Serikali inajenga Uwanja wa Afcon Arusha,inakarabati viwanja vya mazoezi Mikoa mbalimbali juzi tuu hapo wameingia mkataba na Suma JKT
-Serikali inajenga Uwanja wa Mpira Dodoma,na inajenga Uwanja Cha gamani wa Michezo huko huko Dom.
-Serikali imejenga uwanja wa Kinondoni,Manyara,na inajenga viwanja vingine Maeneo mbalimbali eg Sengerema,Chunya,Tunduma,Moshi nk nk
-Imejenga viwanja vya Golf Dodoma, Serengeti nk
-Imejemga uwanja wa mashujaa Dodoma
Hiyo ni Baadhi tuu,nikikumbuka vinginevyo nitaongezea.
Tuje sekta gani nyingine?