Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaka nguvu waliyotumia waandamanaji ilikua ni zaidi ya vita mkuu, waandamanaji walipigana vita na polisi ground, serikali isingeruhusu shot to kill polisi wangezidiwa. Mimi nilishudia kwa macho sio hadithi wanazoleta jamaa humu mitandaoni. Hizi picha nilipiga mimi wakati natoka kariakoo nirudi home Sinza. Nililazimika kupita kwa miguu kutoka kariakoo hadi mabibo mwisho. Huu ni uharibufu niliokutananao tu njiani. 👇🏾 makundi makubwa ya watu walichoma kila biashara ya njiani waliyokutananayo .. mlitaka serikali uwazuie kwa mabomu ya machozi.? View attachment 3701422View attachment 3701423View attachment 3701424View attachment 3701425View attachment 3701426View attachment 3701427View attachment 3701428
no need kuelezea sana mkuu, achana na hio story yashapita
 
Back
Top Bottom