Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Msimlaumu Magufuli kwa ujinga wenu. Nyinyi ndo mmeususa huo uwanja. Mgeuendeleza hata kwa kujenga cold rooms, cargo stores/ godowns na Kaairport Terminal kadogo samaki wote wa kanda ya ziwa wangekuwa exported kutokea pale. Chato sio mbali na Muleba Wilaya yenye visiwa kibao wanaojua kuvua dagaa wale dagaa Bukoba..samaki wote wa kanda ya ziwa wangekuwa dried huko na kuwa exported abroad kupitia hapo. Hata air Tanzania cargo kila wiki mara moja ingekuwa inatua pale.
Toa hata billion tano kwa ajili elimu za muda mfupo kwa wananchi/ wavuvi jinsi logistics inavyofanya kazi kwa wenyeji wa ziwa victoria.

Sio lazima kila uwanja uwe wa abiria.

Bukoba ndizi zinaozea Mashambani, mihogo, matunda inaharibika kuja hadi Dar, maharage mabichi. Ningependa kuona canters, maroli yanaenda hadi vijijini migombani kuchukua fresh foods to and and fro Chato Airport for export. Halafu mko kulaumu hapa GDP haiongezeki.

Nyinyi miaka miaka mitatu mko mnamlaumu Mzee Magufuli
Wacha ujinga wewe cold rooms za Mwanza zimezidiwa? Kwa mazao au uvuvi Upi ulio Chato of all places in Tanzania?
 
Miezi 2 na nusu mid june mpaka September 3rd
Ni miezi mitatu na nusu kwangu Bado naona trc Bado hawajafanya kazi kabisa.
Sgr kwenda dodoma ilikuwa inatumia treni mbili zenye mabehewa 14 jumla mabehewa 28 na tukichukulia Kila behewa limenunuliwa kwa wastani wa USD 550,0000 unapata jumla ya USD 15mil ambayo ni sawa na kununua zhongtong climber 85
Sasa ukichukua hizo bus zipige trip za nauli ya 45,000 na Kila gari libebe abiria 54 kwa siku 90 kwa mabasi yote 85 unapata kiasi Cha 18bil hapa hizi gari hazijageuka wakati treni inapiga trip mbili kwa siku.
Tulitegemea walau kwa treni ingekuwa ishafikisha walau bil 30 na sio hicho kiwango Cha bil15, hayo ni mapato ya super feo tu
 
Wewe ni mgeni kwenye hii battle, hawa wakenya tumetoka nao mbali sana, tangu enzi zile za "show me even 1 flyover" na kiukweli huna cha kuonesha, enzi zile mkenya anapost dreamliner alafu wewe huna hata Q400, wewe wakati huo upo jukwaa la warembo sisi tunapata shida huku, sasa unapomtajataja Magufuli kuwa makini mkuu, with due respect.
Dah.....ila hawa nyang'au walitutesa jamani......dah!
 
Back
Top Bottom