Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Njia ya airport kimsingi ilifaa kuwa na lanes 6 za gari za kawaida+ lanes 2 za brt, ile barabara sasahiv tu tayari imeshazidiwa
Guys mbona tunasumbuka sana na lanes? Sometimes hebu tuwaache watendaji wafanye kazi zao.

Haya mambo ya lawama everytime hayana afya yoyote. You can build even more than 12 lanes, but kila kitukinaenda na design ya city.

Mipango ipo ya kupitisha commuter railway itapitia wapi kama eneo lote la road reserve mmejenga barabara? Tutapanda miti na kuweka maua kwenye mji wapi kama kila eneo mmeweka barabara?

Lengo la kuanzisha BRT ni kuondoa msongamano wa magari barabarani. Pale BRT itakapokuwa stable watu watakuwa wanatumia public trasport. So sioni kama kuna issue yoyote kwa design ya sasa.
 
Mkuu nimeapa hii mada tuiache tu maana hapa tukiongelea itaonekana tuko kisiasa wakati sivyo. Ili tuendelee lazima tutengeneze system sio hii ya Sasa hivi ambayo maendeleo tunayaangalia kwa jina la mtu.
Tuachane na hii mada
Safi, sasa nakutoa rasmi kwenye ban πŸ‘‡πŸ‘‡
Screenshot_20241023-205802~2.png
 
Mm 2017 nilikuwa nachungulia na kutoka nduki na hata sikutaka kuwa na acaunti maake tulikuwa tunapigwa ko mda mfupi tu mambo yaka badilika hadi waleo kunyani wanatugwaya ni kwa sababu ya JPM
Basi tu watu wanakaza fuvu lkn ukweli usemwe, mzee katutoa mbali sana japo ana mapungufu yake tena makubwa tu ila mapungufu yake hayazidi faida alizotuachia, mm sikumpigia kura mwaka 2015 lkn baadaye nilijutia sn mpaka ilipofika 2020 nilimpa kura yangu japo kwa wabunge na madiwani alipoteza kura yangu.
 
Mimi nilijua hunifuatilii kumbe unachungulia
Wewe ni mgeni kwenye hii battle, hawa wakenya tumetoka nao mbali sana, tangu enzi zile za "show me even 1 flyover" na kiukweli huna cha kuonesha, enzi zile mkenya anapost dreamliner alafu wewe huna hata Q400, wewe wakati huo upo jukwaa la warembo sisi tunapata shida huku, sasa unapomtajataja Magufuli kuwa makini mkuu, with due respect.
 
Mkuu tuachane nayo Kila kiongozi alifanya yake mazuri ila tuliyajua mabaya ya kikwete sababu aliruhusu tuyajue ila kwa magu haikuwa hivyo.
Term 1 ya kikwete alianzisha miradi ya bababara za 3145 nchi nzima na ubora wa barabara unaweza kuprove kwa kufuatilia hiyo
Term 1 ya magu alianzisha barabara 1535 .

Niko tofauti na wewe kwa sababu unaona magu alifanya mengi tofauti na kuliko rais yoyote ila unasahau kuwa miradi mingi aliyoanzisha ni incomplete.
Na ndo maana nasema alama 1 ya ujenzi ni barabara tukija kwenye elimu, hospitali ,maji, human capital
Mwandiko wa ChoiceVariable huu, mkuu unamiliki ID ngp baba 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Back
Top Bottom