Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

They sure are ahead us na IQ kubwa hadi kuhifadhi vitu chooni. Safi sana hongera.

Sisi bado tunaseti mchongoko, sijui tutafika lini huko 🤣🤣🤣🤣
Hii Noise inasikika huko Ulaya kwenye zile Train Terminals na Subways.
Kweli Tanzania tumepiga hatua.

Sema watz wapole sana. Hii ingekuwa kenya Africa nzima isingetulia.

1729766008858.jpg
 
Somo la Barabara limeanza kueleweka.

Hakuna sababu ya kuzunguka zunguka na kutumia gharama kubwa wakati tunaweza toboa Barabara kuunganisha Mkoa na Mkoa Kwa shortcut na hivyo kupunguza Kuharibu kwenye Barabara.

Safari ya kuunganisha Mor

Pwani,Lindi,Mtwara na Morogoro na Dodoma imeanza 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DBgiTK_NGO-/?igsh=cTl1aWE0bmhoOTNj
 
Back
Top Bottom