ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,246
Ndio Kwa sababu alijenga miradi hewa.Hebu jibu hoja na toa facts. Hatupo kwenye mipasho hapa.
Nyinyi miaka mitatu yote toka mzee ametutoka mko mnamlaumu marehemu bwana.
Na msivyo na akili mnasusa na kutelekeza wakati Tanzania kote ni nchi moja.
Hoja gani? Huko Kijijini Chato Kuna kipi Cha maana? Ndio SSH alikataa kutoa hadhi ya Mkoa Hadi hapo Kijiji kitakokuwa Mji. Mambo ya kukurupuka sio dili 👇👇
View: https://x.com/Jambotv_/status/1849420295616029103?t=BwziMzkAS2wZncnNA2t0oA&s=19