Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi

IMG_0665.jpeg
 
Mkuu naandika maneno machache tu ya mwisho ili tuachane na hii mada.
Kiufupi miradi aliyoanzisha Magufuli ni more vital,sijasema kuwa Kikwete hana jema.
ILA KUMFANANISHA KIKWETE NA MAGUFULI NI KUMDHALILISHA MAGUFULI.
Unajenga terminal 2 ya airport halafu hauna shirika shindani la serikali!?
Barabara alizojenga mkwere nyingi ni chini ya kiwango nakuomba jaribu kupita hizo barabara ulizosema halafu uje useme mwenyewe zina hali gani kwasasa.
Huko kujenga chuo sawa tunamsifia.
Umeshasahau msingi wa kuelekea katika hivyo vyuo ikiwemo UDOM ameurahisisha Magufuli kwa kuleta elimu bure.
Raia wengi walikua wanakwama chini kwa kushindwa kwenda shule kwa ada na michango lukuki iliyopo shule za serikali.
Usisahau na miundombinu muhimu ya kupunguza foleni Dar kama Interchange ya Ubungo.
Usisahau upanuzi wa Kimara-Kibaha highway.
Usisahau daraja la Kigogo-Busisi ambalo litawarahisishia raia hao kupunguza masaa ya safari ambayo ilikua inawagharimu kwa kuvuka na kivuko kwa muda mrefu.
Mwisho niseme kitu kimoja mkuu.
Magufuli alikua ni kiongozi wa utofauti kabisa.
Alikua ni mtu wa uthubutu kuliko yeyote aliyetangulia na hata wa sasa.
Ndo maana nimesema hii mada tuiache maana hatuwez fikia muafaka, ntakupa mfano tu umesema amejenga daraja la busisi sawa sikatai lakini kumbuka kabla ya hapo dodoma mpaka mwanza ilikuwa vumbi na ili kwenda dar ilipaswa kupitia Nairobi, Kuna mamb mengi sana ila haya kutangazwa .ukiingia website ya tanroads kwa miaka mitano ya mwanzo ya kikwete alianzisha miradi mipya 60 huku magu akiwa na miradi 40 kwa miaka 5 ya kwanza na hata ukiangalia roadnetwork iliyoanzishwa kwa miaka mitano hivi vitu mbona viko wazi jaribu hata kupitia hapa TANROADS Official Website :: Projects
Pitia hapo jidhihirishe .
Fanya comparison tu ya upande wa miradi inayosimamiwa na tanroad badala ya kunishambilia ningetamani ufanya hata analysis kwa mifano iliyopo kwenye hiyo link hata kwa kufanya summation ya total value ya miradi utapata jibu.
 
😂😂😂😂Mkuu naona hutaki kuelewa nini nazungumzia ama nini nalenga.
Nilisema kuwa sijakataa kuwa Kikwete kuna jema alilofanya.
Ila mizani ya Magufuli ni mikubwa kuzidi ya Kikwete mkuu.
Hili unabisha nini kaka!??
Tukipima mizani ya Magufuli ni mizito.
Unazungumzia barabara peke yake ambazo zinajengwa nyingi kwa ubora wa chini!?
Mie nitakuambia kuipandisha Dodoma kuwa jiji halisi.
Miaka yote toka kuumbwa kwa Tanzania Dodoma ilikua haina hadhi ya mji japo ulikua mji mkuu na yeye Magufuli ndiye aliyeujenga ule mji wa Dodoma na ukaonekana ni mji haswa.
Magufuli ndiye aliyeipa hadhi ya mji halisi Dodoma.
Ndio maana nikamalizia na kusema 'Kikwete sawa anayo makubwa aliyofanya,ila ni utovu wa nidhamu kumfananisha Kikwete na Magufuli, Magufuli ana mizani mizito sana'.
Zingatia hii point yangu mkuu.
Main point ipo hapo katika kauli yangu ya mwisho.

Tuendelee na mjadala husika wa Nairobi vs Dar es salaam.
 
Mkuu tuachane nayo Kila kiongozi alifanya yake mazuri ila tuliyajua mabaya ya kikwete sababu aliruhusu tuyajue ila kwa magu haikuwa hivyo.
Term 1 ya kikwete alianzisha miradi ya bababara za 3145 nchi nzima na ubora wa barabara unaweza kuprove kwa kufuatilia hiyo
Term 1 ya magu alianzisha barabara 1535 .

Niko tofauti na wewe kwa sababu unaona magu alifanya mengi tofauti na kuliko rais yoyote ila unasahau kuwa miradi mingi aliyoanzisha ni incomplete.
Na ndo maana nasema alama 1 ya ujenzi ni barabara tukija kwenye elimu, hospitali ,maji, human capital
 
Back
Top Bottom