Msimlaumu Magufuli kwa ujinga wenu. Nyinyi ndo mmeususa huo uwanja. Mgeuendeleza hata kwa kujenga cold rooms, cargo stores/ godowns na Kaairport Terminal kadogo samaki wote wa kanda ya ziwa wangekuwa exported kutokea pale. Chato sio mbali na Muleba Wilaya yenye visiwa kibao wanaojua kuvua dagaa wale dagaa Bukoba..samaki wote wa kanda ya ziwa wangekuwa dried huko na kuwa exported abroad kupitia hapo. Hata air Tanzania cargo kila wiki mara moja ingekuwa inatua pale.
Toa hata billion tano kwa ajili elimu za muda mfupo kwa wananchi/ wavuvi jinsi logistics inavyofanya kazi kwa wenyeji wa ziwa victoria.
Sio lazima kila uwanja uwe wa abiria.
Bukoba ndizi zinaozea Mashambani, mihogo, matunda inaharibika kuja hadi Dar, maharage mabishi. Ningependa kuona canters, maroli yanaenda hadi vijijini migombani kuchukua fresh foods to and and fro Chato Airport for export. Halafu mko kulaumu hapa GDP haiongezeki.
Nyinyi miaka miaka mitatu mko mnamlaumu Mzee Magufuli