Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

South B is an estate in Nairobi, located just 5 km from the city centre. It is possible to walk to the CBD in less than 30 minutes.

I don't respond to Tanzanians who quote me because anyone with functioning eyes can see that it will take Dar slums more than 30 years to reach the current Nairobi state. If you don't have brains to decipher the truth, I can't help.

Next naleta picha za South C. Sijui mbona tuko na South B na South C na hatuna South A.

View attachment 3131810
View attachment 3131808
View attachment 3131807
View attachment 3131805
View attachment 3131804View attachment 3131802View attachment 3131801
View attachment 3131800View attachment 3131796View attachment 3131795View attachment 3131794View attachment 3131793View attachment 3131791
View attachment 3131790View attachment 3131789View attachment 3131788View attachment 3131787
View attachment 3131786View attachment 3131785View attachment 3131784View attachment 3131783View attachment 3131782
View attachment 3131781View attachment 3131780View attachment 3131753
View attachment 3131752
Hii takataka gani umeweka?
 
Hawa jamaa wanaendelea je huko mukuru kwa reuben!?

Kenge ngapi za North tumezipoteza za huku ndani?
 
Nairobi. Africa’s leading Business Travel Destination.

IMG_0662.jpeg
 
Mkuu ndo maana nasema hii mada tuiache tu maana kwa Sasa itaonekana ni siasa tu. Hivi unajua hata Sasa hivi barabara Bora kabisa Tanzania ya iyovi- makambako ilijengwa chini ya kikwete.
Unajua kikwete ndo alimalizia kipande Cha kutoka isaka tu lushahunga - kagoma zaid ya 450bil kumbuka kipindi nchi ilikuwa imefungwa na ndo kipindi ili kufika dar ilitubidi tupitie Nairobi.
Unajua kuwa mpaka miaka 2006 kwenda mtwara kipindi Cha mvua ilitulazimu kukaa mpaka wiki otherwise kupanda meli na aliyekujenga kujenga kipande korofi somanga tu ikwirir ni kikwete hivyo kuifungua mikoa ya kusini.
Hivi unajua kuwa kikwete ndo alifanya renovation ya barabara toka chalinze tu Tanga na korogwe- same hizo ni zaid ya km 200?
Kwa hiyo ulitaka apeleke umeme kabla ya kuwapeleka barabara ?
Je Kuna record yoyote ya jpm kujenga barabara au kufanya renovation kwa zaid ya km 200 Mimi mfano nakutolea barabara ya iyovi- iringa - mafinga.
Bado tukisema tuorodheshe barabara alizojenga kikwete kwa Miaka mitano ya mwanzo inazid barabara zote za magufuli ila tukisema ukweli tunaambiwa ni siasa . Kikwete alikuta nchi imefungwa akajitahidi kuifungua kwa kujenga barabara na kufanya marekebisho zile za kikoloni na ndio maana Leo hii unaweza toka mtwara mpka mwanza kwa lami haya yalifanyika kipindi Cha kikwete.
Tukija kikwete ndo alijenga chuo kikubwa kuliko vyote Cha udom magu amejenga chuo gani?
Kikwete ndo alijenga hiyo terminal 2 ya uwanja wa ndege wa dar .
Kikwete ndo alipokea bodi ya mikopo ya elimu ya juu na ndo rais wa kwanza kuanza kulipa na kipindi Cha kikwete Kila mwaka kulikuwa Kuna increment ya mishahara .
Kinachponza humu tunaangalia hiyo miradi ya sgr na bwawa tunashindwa kuangalia kikwete au mkapa walipokea nchi katika mazingira gani .
Mkuu naandika maneno machache tu ya mwisho ili tuachane na hii mada.
Kiufupi miradi aliyoanzisha Magufuli ni more vital,sijasema kuwa Kikwete hana jema.
ILA KUMFANANISHA KIKWETE NA MAGUFULI NI KUMDHALILISHA MAGUFULI.
Unajenga terminal 2 ya airport halafu hauna shirika shindani la serikali!?
Barabara alizojenga mkwere nyingi ni chini ya kiwango nakuomba jaribu kupita hizo barabara ulizosema halafu uje useme mwenyewe zina hali gani kwasasa.
Huko kujenga chuo sawa tunamsifia.
Umeshasahau msingi wa kuelekea katika hivyo vyuo ikiwemo UDOM ameurahisisha Magufuli kwa kuleta elimu bure.
Raia wengi walikua wanakwama chini kwa kushindwa kwenda shule kwa ada na michango lukuki iliyopo shule za serikali.
Usisahau na miundombinu muhimu ya kupunguza foleni Dar kama Interchange ya Ubungo.
Usisahau upanuzi wa Kimara-Kibaha highway.
Usisahau daraja la Kigogo-Busisi ambalo litawarahisishia raia hao kupunguza masaa ya safari ambayo ilikua inawagharimu kwa kuvuka na kivuko kwa muda mrefu.
Mwisho niseme kitu kimoja mkuu.
Magufuli alikua ni kiongozi wa utofauti kabisa.
Alikua ni mtu wa uthubutu kuliko yeyote aliyetangulia na hata wa sasa.
 
Back
Top Bottom