Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

As I say, Tanzania is such a Vast , blessed country.
Well connected with Quality roads everywhere, kila mkoa.
17B0CDF2-6788-426F-A18B-26404096D60A.jpeg
1C00C151-F122-4110-BF1E-D7E28BB55294.jpeg
B8FB721E-4B1A-4DCE-91DB-1F4CD5CE94D8.jpeg
D62E97A1-F8F5-4E4B-88F4-C7FBBFFE18E8.jpeg
 
RRONDO aliargue kuwa Public Transportation inaweza fanya hata hizo Lane zipitike yes inaeleweka zikisimamiwa vizuri.

Wengine wanargue kuwa njia ziwe hadi sita nane.

Wote mna hoja ila kuna kitu mnakiacha no matter how many lanes tunazo kuna ujinga flani unajazaga foleni za kijinga.

Vivuko vya Zebra like seriously six way lanes zilitakiwa kuwa na vivukoo vya juu kila sehemu Dar nzima tungepunguza msongamano usio wa lazima.

1729763191968.png


Kuna hawa Bodaboda na Bajaji unakuta sometimes wapo unnecessary slow bila sababu wakati barabara gari inapaswa kupush kwa speed kadhaa, na Kuna Daladala ambao wanajazia watu Barabarani wapo slow kujaza jam, plus machina waliosogeza shughuli hadi barbarani kufanya watu wawe wanatembea barabarani kulazimu gari kuslow down

Inapaswa tuwe na Minimum speed limit, na hizo mwendokasi ziwe efficient kupunguza Daladala, Plus kuondoa Bodaboda waliozagaa

1729763333372.png


Kuna Traffic vichaa wanaona taa hazitoshi hadi wapige mkono kutengeneza foleni kwa lazima regardless of the lanes.

Foleni imezidi Bagamoyo road kisa hawa wajinga kujikuta kuingilia njia why wasiongeze dakika kwenye mataa sio kujikuta dk 30 wanapungia upande mmoja

Kwa maoni yangu hata hizo Nne zinawezekana ikiwa kila makutano gari hazisubiriani (Overpass, Underpass, Flyover, Interchanges) yaani upande wote gari hazikutani ni kunyoosha tu, hakuna ujinga barabarani. I believe hata hizo lane zitaonekana safi.

1729763826772.png

1729763890944.png


Anyway for future ni vizuri kufanya upanuzi kama hawana hela ndio waache nafasi kama Magufuli alivyofanya Ubungo kimara, sio mnarundika wamachinga wanakaa permanent kuwaondoa inakua taabu ona Mawasiliano.
 
Back
Top Bottom