Huko unazunguka sana aiseee.
Hivi miradi ya Magufuli unaifananisha na miradi ya kiongozi yupi mkuu??
Miradi ya Magufuli yote ni vital ambayo ingekamilika ni kuiinua hii nchi kiuchumi.
Ila miradi ya Kikwete mingi ilikua ya upigaji na unufaishaji wa mstaafu na genge lake.
Unakumbuka na sakata la Kurasini!??
Yule mkwere mwizi tu kupindukia.
Kuhusu la CAG sina comment juu ya hilo.
Ila miradi ya marehemu ilikua ni game changer aisee.
*Madaraja.
*SGR
*JNHPP/Stiglers gorge.
Mkuu ndo maana nasema hii mada tuiache tu maana kwa Sasa itaonekana ni siasa tu. Hivi unajua hata Sasa hivi barabara Bora kabisa Tanzania ya iyovi- makambako ilijengwa chini ya kikwete.
Unajua kikwete ndo alimalizia kipande Cha kutoka isaka tu lushahunga - kagoma zaid ya 450bil kumbuka kipindi nchi ilikuwa imefungwa na ndo kipindi ili kufika dar ilitubidi tupitie Nairobi.
Unajua kuwa mpaka miaka 2006 kwenda mtwara kipindi Cha mvua ilitulazimu kukaa mpaka wiki otherwise kupanda meli na aliyekujenga kujenga kipande korofi somanga tu ikwirir ni kikwete hivyo kuifungua mikoa ya kusini.
Hivi unajua kuwa kikwete ndo alifanya renovation ya barabara toka chalinze tu Tanga na korogwe- same hizo ni zaid ya km 200?
Kwa hiyo ulitaka apeleke umeme kabla ya kuwapeleka barabara ?
Je Kuna record yoyote ya jpm kujenga barabara au kufanya renovation kwa zaid ya km 200 Mimi mfano nakutolea barabara ya iyovi- iringa - mafinga.
Bado tukisema tuorodheshe barabara alizojenga kikwete kwa Miaka mitano ya mwanzo inazid barabara zote za magufuli ila tukisema ukweli tunaambiwa ni siasa . Kikwete alikuta nchi imefungwa akajitahidi kuifungua kwa kujenga barabara na kufanya marekebisho zile za kikoloni na ndio maana Leo hii unaweza toka mtwara mpka mwanza kwa lami haya yalifanyika kipindi Cha kikwete.
Tukija kikwete ndo alijenga chuo kikubwa kuliko vyote Cha udom magu amejenga chuo gani?
Kikwete ndo alijenga hiyo terminal 2 ya uwanja wa ndege wa dar .
Kikwete ndo alipokea bodi ya mikopo ya elimu ya juu na ndo rais wa kwanza kuanza kulipa na kipindi Cha kikwete Kila mwaka kulikuwa Kuna increment ya mishahara .
Kinachponza humu tunaangalia hiyo miradi ya sgr na bwawa tunashindwa kuangalia kikwete au mkapa walipokea nchi katika mazingira gani .