sikatai wazo lako kabisa BRT ni muhimu sana, city rail ni muhimu sana lakini lazima iendane na barabara pia, haimaanishi ukiwa na BRT na city train basi barabara ziwe finyu hapana bro lazima kila infastructure ijengwe kwa upana wake hasa kwa kuzingatia ukuaji wa population, ni muda barabara zipanuliwe ziwe hata 8 lanes njia ya airport etc, unazungumzia watu million 10 by 2030 dar pekee bro bila kua na barabara pana zenye kupitika muda wote usitegemee BRT na City train itamaliza kero never ever ndio maana nchi za wenzetu wana kila aina ya infastructures na still wana barabara mpaka 16 lanes, tuseme wao hawana akili ???