kaka hili group sio la siasa hilo moja alaf la pili hakuna rais aliwahi kua na uthubutu wa jambo lolote kama magufuli hata leo ukimuamsha mtu alielala sasa hvi hawez kupepesa macho kwenye hili, leo tunazungumza Air tanzania kifua mbele kwasababu yake, leo tunavimba na SGR kwasabbau yake, leo tunanyanyua kwapa kua na umeme wa uhakika kwasababu alifanya maamuzi magumu yaliowashinda wengi kama kujenga bwawa la rufiji ambalo wazungu hawakutaka kuona bwabwa lile likijengwa, leo tunaona stendi za bus kila mkoa ni kwasababu alithubutu kufanya hvo na sio kufanya tu mpaka kusimamia, leo tunaongelea bandari ya dar tanga na mtwara kuboreshwa yote aliyafanya kwa maamuzi magumu sana hata kukataa bagamoyo port ni kwaajili ya maslahi ya taifa hili, kabla yake tanzania ilikua inayetemea rada moja, leo hii tanzania ina rada zisizopungua tano za kisasa ni kwa uthubutu wake, hospitali ziliboreshwa na maadili ya watumishi wa uma yalirudi, leo hii jaribu kupeleka pua yako amana hospital au hospital yoyote ya serekali ukaone vituko, mm nilienda amana hospital kipindi cha awamu ya magu huduma nilioipata tena kwa unyenyekevu siwez ipata pale tena kamwe, hakuna tena nidhamu hakuna uoga kabisaa yani yamerudi mambo yaleeeeee ya enzi za mkwere,
hebu ww taja mradi mmoja aliacha kikwete haukukamilika mradi ambao unatija na taifa hili hebu taja nione
leo tunajivunia flyovers na interchanges yote sikwasababu ya uthubutu wake au unafkiri zinashushwa kutoka mbinguni??
hawa wakenya unaobishana nao walikua hawana raha kipindi chake na mpaka leo waulize watakwambia alioipaisha tanzania ni nani mpaka sasa ni tishio kwao watakwambia magufuli tena very clear
angalia athari za corona zilivoangamiza africa unafkiri isingekua utayar na thubutu wake tungekua kwenye hali gani???? magu was a pure genius, amelinusuru sana hili taifa kwa uwezo aliojaaliwa na MUNGU, hatusemi hakua na mapungufu lakini tukiweka mizani pia itatupa majawabu
bro ngoja nikwambie kitu hakuna vita mbaya duniani kama vita vya uchumi usiombe hio vita, ndio vita alivopigana magufuli kufufua shirika kama air tanzania ambalo lilikua na madeni chungu mzima na bado lilihujumiwa na na precision air pamoja na kenya airways kwa miaka mingi sana is not a joke mzee hio vita acha kabisa
tuendeleee kula supu nyama tutazikuta chini