Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa wenzetu 🇰🇪 mfanya kazi au mfanya biashara wa kati kumiliki ardhi karbu na miji au majiji ni ndoto.Ndomaana matajiri wachache manaomiliki mapande makubwa ya ardhi hujenga magorofa kwa ability ya kupangisha kama ya chini au kuuza kwa kama ya kati.
Hizi hekaya zenu mnazipenda sana
 
View: https://x.com/GodemaE/status/1849151987503272414?t=QUThtKrvsfoOxrB0WbNT1g&s=19
20241023_224954.jpg
 
Hiyo miaka tulikiwa hatuwezi kubato na kunyani maake kila idara wametupiga na kukudi data maake mm binafsi nilikuwa nachungulia bila aid na kutoka nduki mnakumbuka vitasa vya MK54 na ndiyo mkenya mkweli tu hapa jf kama alijuwa kuwa Ruto ameshinda maisha Kenya yatakuwa magumu hatakuwepo jf alijua tunaenda kuwapiga ko mazima
Wewe ni mgeni kwenye hii battle, hawa wakenya tumetoka nao mbali sana, tangu enzi zile za "show me even 1 flyover" na kiukweli huna cha kuonesha, enzi zile mkenya anapost dreamliner alafu wewe huna hata Q400, wewe wakati huo upo jukwaa la warembo sisi tunapata shida huku, sasa unapomtajataja Magufuli kuwa makini mkuu, with due respect.
 
But there is nothing Tanzania is ahead of Kenya. Tanzania have just tried to do catch up with Kenya but still your country is nowhere near Kenya.
 
Hujasoma huo ujembe wa jamaa na kuulewa, mchizi ameeleza wazi kwamba mkenya mkweli humu alikua ni mk54, na ndio mana hata wewe unauliza swali la kimaandazi kwasababu ni dhahiri wewe si mkweli. 😂😂😂
 
Wewe ni mgeni kwenye hii battle, hawa wakenya tumetoka nao mbali sana, tangu enzi zile za "show me even 1 flyover" na kiukweli huna cha kuonesha, enzi zile mkenya anapost dreamliner alafu wewe huna hata Q400, wewe wakati huo upo jukwaa la warembo sisi tunapata shida huku, sasa unapomtajataja Magufuli kuwa makini mkuu, with due respect.
Mazao ya nyumba zile za ibada "tusimame na flani ni mwezetu" 😂 😂
 
Wewe ni mgeni kwenye hii battle, hawa wakenya tumetoka nao mbali sana, tangu enzi zile za "show me even 1 flyover" na kiukweli huna cha kuonesha, enzi zile mkenya anapost dreamliner alafu wewe huna hata Q400, wewe wakati huo upo jukwaa la warembo sisi tunapata shida huku, sasa unapomtajataja Magufuli kuwa makini mkuu, with due respect.
Tunachafua thread ya watu, nimekuwepo mwanzo mwisho ila kwa hapa siwez changia tukutane sehemu thread nyingine .hapa sichangii hata kwa dawa
 
Back
Top Bottom