ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
edited video aliifanya nani mama ngina au?? 😂😂😂 haya lia basiiYani wewe fala hata huwezijua hiyo ni edited video? Kweli ufala ni laana.
edited video aliifanya nani mama ngina au?? 😂😂😂 haya lia basiiYani wewe fala hata huwezijua hiyo ni edited video? Kweli ufala ni laana.
ww umeitoa wapi mr IMF 😂😂😂😂GDP Kati ya Kenya na Tanzania imekuwa widen to $40B.
na ajabu hua munaniogopa kama ukoma humu ndani 😂😂😂😂😂Huyo mwarabu hakuna kitu huwa anajua.
Habari mbaya kwa nyang'au Teargas😁Huku World Cup women U17 wamebondwa na North Korea na wametolewa
Wapo kimya humu
View attachment 3133900
Huna taarifa IMF already washatoa data zao za 2024?😂😂😂ww umeitoa wapi mr IMF 😂😂😂😂
Sasa unataka kulia sababu nimekurekebisha?😂😂edited video aliifanya nani mama ngina au?? 😂😂😂 haya lia basii
Sawa baboon.Hujasoma huo ujembe wa jamaa na kuulewa, mchizi ameeleza wazi kwamba mkenya mkweli humu alikua ni mk54, na ndio mana hata wewe unauliza swali la kimaandazi kwasababu ni dhahiri wewe si mkweli. 😂😂😂
na ajabu hua munaniogopa kama ukoma humu ndani 😂😂😂😂😂
wenye akili ndio hawa wanaokula pesa zenu kilaini na mumekaa kusifia upuuzi
View: https://x.com/nationafrica/status/1849292256831799401?s=46
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Nani aogope mwenye hajui kwao?😂😂🤣😂
ameitoa nani mama ngina au 😂😂😂😂😂Huna taarifa IMF already washatoa data zao za 2024?😂😂😂
MK254 sio mkweli na ni mkenya hatari sn hawa wote humu ndiyo Mungu wao, ni mtu aliyeichafua Tanzania kwa miaka mingi sana, kwa sasa hana cha kuongea na ndiyo maana alikimbia humu yupo kwenye majukwaa mengine kule, huyo jamaa ukiona muandiko wake unaweza kusema ni mtanzania lkn ni mkenya yule wa kizamani kabisa. Mkenya mkweli ni Tony254 na mwaswastHujasoma huo ujembe wa jamaa na kuulewa, mchizi ameeleza wazi kwamba mkenya mkweli humu alikua ni mk54, na ndio mana hata wewe unauliza swali la kimaandazi kwasababu ni dhahiri wewe si mkweli. 😂😂😂
Wakati Tanzania women walifika semi finals, hawa jamaa mpira sio fani yao.Huku World Cup women U17 wamebondwa na North Korea na wametolewa
Wapo kimya humu
View attachment 3133900
But there is nothing Tanzania is ahead of Kenya. Tanzania have just tried to do catch up with Kenya but still your country is nowhere near Kenya.
Jinsi walivyo hawajulikani, hata bendera yao haipo, watu hawaijui 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣Huku World Cup women U17 wamebondwa na North Korea na wametolewa
Wapo kimya humu
View attachment 3133900