Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu wacha hizi siasa zako maji taka au nitaku ignore kwasababu unaongopa, ni upuuzi kuendelea kumpa credit Samia kwa miradi ya Magufuli japo wote tunajenga nyumba moja, hata Samia mwenyewe anajua exposure kaipata wapi, leo hii Rais yeyote wa Tanzania anajua jukumu alilonalo kwa wananchi, ni miradi ya uhakika na sio yale mambo ya neti enzi zile. Leo hii Magufuli amefanya jirani zetu wanatuheshimu, hivi nikuulize swali, kama asingepita Magufuli alafu angeanza Samia, je, leo hii tungeona hii miradi mikubwa inayoendelea? Acheni unafki au nikupige ban, sipendi ujinga kwenye vitu serious, tafadhali sanaa mkuu.
Wewe ignore tu tusilazimishane , wewe unaona ni maji taka ila ukweli ni kuwa unayemtetea hakufanya kitu, almost miradi yote mnayosema ilikuwapo hata kabla ya yeye kuingia madarakani.
Hapa tuko kwenye majadiliano na sio kulazimishana , ungetaja miradi mitano ambayo alianzisha magu na kukamilisha akiwepo madarakani ningekuelewa. Magu kaacha viporo huo ndo ukweli na kwasababu miradi mingi ilikuwa ya kifisadi haikuwahi kufanyiwa ukaguzi na laiti tukisema tukague hiyo miradi inawizi mkubwa kuliko hata tunavyodhania.
Hatuko kwenye siasa na sio kwamba kuwa tofauti na magu eti ndio kampeni kwa Samia.
 
Tanzania doctors

View: https://x.com/MuhimbiliTaifa/status/1843589168695521740?t=ewf1aCE6GG9c4teTqy6vLQ&s=19

Kunyaland doctors
images (78).jpeg
 
Mkuu kama ingekuwa na Mikono ya wakubwa angeamuru ifanyiwe ukaguzi maalum ili kama kulikuwa na ubadhirifu washughulikiwe waliohusika. Ila kati ya vitu ambavyo mwendazake hakutaka ni ukaguzi. Tukisema ufanyike ukaguzi wa miradi aliyofanya magu , mingi inaufisadi na hata ukiangalia mingi ya aliyoikamilisha haikuwa na ubora rejea hostel
Una uhakika hakufanya ukaguzi??
Kama angekua hakufanya ukaguzi angejiridhishaje kuwa kuna mikono ya wastaafu mkuu!?
Hostel zipi hizo mkuu ambazo marehemu alijijenga na kukawa na upigaji!?
Hata kama kuna upigaji siwezi kumlaumu yeye huwenda ni watendaji wake.
Maana kiongozi huwezi ukajua yanayoendelea kila kona kwa wakati mmoja.
Hata mama Samia kuna maeneo kibao wanamuhujumu na yeye hajui.
Ila Magufuli alikua ana miradi ambayo ni foresighted na yenye nia nzuri.
 
I dared Tanzanians to just post one video of a town or city which can compete Kisumu, wakashindwašŸ˜‚
Wamekubali ila kwa kunungunika. Huoni wanasema tumechagua visehemu vichache vizuri wakati anayerekodi ni Mganda? šŸ˜‚ šŸ˜‚
 
Una uhakika hakufanya ukaguzi??
Kama angekua hakufanya ukaguzi angejiridhishaje kuwa kuna mikono ya wastaafu mkuu!?
Hostel zipi hizo mkuu ambazo marehemu alijijenga na kukawa na upigaji!?
Hata kama kuna upigaji siwezi kumlaumu yeye huwenda ni watendaji wake.
Maana kiongozi huwezi ukajua yanayoendelea kila kona kwa wakati mmoja.
Hata mama Samia kuna maeneo kibao wanamuhujumu na yeye hajui.
Ila Magufuli alikua ana miradi ambayo ni foresighted na yenye nia nzuri.
Mkuu unakumbuka kuwa magu alivunja mpaka katiba kwa kumuondoa aliyekuwa CAG ludovick utouh hasa baada ya kukosoa sana uendeshaji wa miradi yake, mfano tu alikosoa sana utaratibu wa ununuzi wa ndege, kama kweli alikuwa anafanya vyema ikawaje akapanga mpaka kumuondoa Cag kinyume na taratibu.
Kama alikuwa anataka usafi asinge muondoa utouh hasa baada ya kuona ripot zake ziliibua wizi uliokuwa unaendelea .
Ishu ya Samia sijasema kuwa haibiwi lakini point Iko hivi ndani ya muda mfupi kafanikisha kumaliza mpaka miradi ambayo aliacha magu wakati magu alipoingia madarakani Kuna miradi kibao ya kikwete kama bagamoyo port ,denge eco village na kadha wa kadha Aliitangaza kuwa Ina ufisadi na akaitelekeza , Kuna barabara kibao alizoziacha kikwete zimekuja kamilika na baadhi ujenzi wake kufufuliwa kipindi Cha Samia eg tabora - manyoni lakini tukiwaambia humu mnasema kampeni.
Magu alianzisha miradi mingi ambayo hakuimaliza na mingi ilikuwa siasa huyu karidhi miradi viporo mingi. Kwahiyo mnachotaka aiache Ile ya magu ife kama alivyofanya magu kwa ya kikwete ndo tuanze kumsifia
 
Sinaga muda wa kupoteza, hawa wavamizi wa hii battle wanaotoka jukwaa la siasa kule sinaga muda nao, natembeza ban tu. Mtu anakuambia eti magu hajafanya kitu, anaakili timamu kweli huyo? Kabla ya magu hakuwahi hata kuthubutu kuanzisha battle, leo hii wamepata cha kuongea wanaleta jeuri, sasa napiga pini tu.
Screenshot_20241021-204405~2.png
 
Sinaga muda wa kupoteza, hawa wavamizi wa hii battle wanaotoka jukwaa la siasa kule sinaga muda nao, natembeza ban tu. Mtu anakuambia eti magu hajafanya kitu, anaakili timamu kweli huyo? Kabla ya magu hakuwahi hata kuthubutu kuanzisha battle, leo hii wamepata cha kuongea wanaleta jeuri, sasa napiga pini tu.
View attachment 3131872
Perfect I hope umegundua kuwa tulikuwepo hata kabla hujaijua jf
 
Sinaga muda wa kupoteza, hawa wavamizi wa hii battle wanaotoka jukwaa la siasa kule sinaga muda nao, natembeza ban tu. Mtu anakuambia eti magu hajafanya kitu, anaakili timamu kweli huyo? Kabla ya magu hakuwahi hata kuthubutu kuanzisha battle, leo hii wamepata cha kuongea wanaleta jeuri, sasa napiga pini tu.
View attachment 3131872
Sasa unahisi Mimi Ninashida na wewe
 
Sawa mkuu lakini Kuanzisha na kumaliza ni vitu viwili tofauti, Kuna barabara kadhaa zilianzisha na kikwete mpaka anaondoka magu zilikuwa Bado hazijakamilika walau Sasa hivi zinaendelezwa .
Kwahiyo mlitaka aanzishe miradi mipya atelekeze miradi yote ya magu.
Hakuna kitu kipya alichoanzisha magu vilikuwapo kwenye mpango hata reli ilikuwapo kwa mpango na yoyote ambaye angeingia lazima angeitekeleza.
Ukitaka kujua kwa magu ilikuwa ni siasa tafuta miradi aliyoianzisha na ikakamilika . Pia kumbuka katika kipindi chote tuliambiwa tufunge mikanda hakuna ajira, hakuna nyongeza ya mishahara hakuna safari tulitegemea akamilishe miradi mingi lakini haikuwa hivyo.
Wew nawe umeanza kuwa mwanasiasa....mtu mwenyew Mr JPM alishapumzika hata mkimtuhumu, mkamlisha maneno, nk hawezi amka akajibu
Ni miaka mitatu sasa....natamani siku mojamoja Mama samia awe anatembelea hata miradi physically, Nilitegemea alivyofungua SGR to Dodoma asogee pale makutupora akague ujenzi towards Tabora. Kama umekwama basi taarifa itolewe na sababu juu, kama kuna wezi watumbuliwe.
Atoe suggestions public, Jinsi anavyoiona Tanzania atoe hope kwa watz, atoe deadlines kama alivyofanya SGR ya Dodoma. Ndo kazi ya Rais hiyo....siku moja moja apande mwendokasi ashtukize, kama kuna wazembe wawajibishwe...ni mwaka mzima sasa BRT system inalalamikiwa kwa huduma mbovu.

Hebu turudi kwenye uzi sasa. Mambo ya politicians achana nayo
 
Sio politics na sio Kila mtu anayemkosoa magu eti anampigia kampeni mama Samia,
Ndio kashafiriki then tumkosoe Samia bila kumlinganisha na magu kwa sababu ,wewe ukiona magu was perfect then Kuna mwingine anamuona ni failure.
Na hakuna mwanauchumi yoyote ambaye atasema magu was right Bali
Turudi kwenye mjadala tuachane na haya ya magu na Samia.
 
Sawa mkuu lakini Kuanzisha na kumaliza ni vitu viwili tofauti, Kuna barabara kadhaa zilianzisha na kikwete mpaka anaondoka magu zilikuwa Bado hazijakamilika walau Sasa hivi zinaendelezwa .
Kwahiyo mlitaka aanzishe miradi mipya atelekeze miradi yote ya magu.
Hakuna kitu kipya alichoanzisha magu vilikuwapo kwenye mpango hata reli ilikuwapo kwa mpango na yoyote ambaye angeingia lazima angeitekeleza.
Ukitaka kujua kwa magu ilikuwa ni siasa tafuta miradi aliyoianzisha na ikakamilika . Pia kumbuka katika kipindi chote tuliambiwa tufunge mikanda hakuna ajira, hakuna nyongeza ya mishahara hakuna safari tulitegemea akamilishe miradi mingi lakini haikuwa hivyo.
Ununuzi wa ndege haukuwa kwenye mipango ya serikali yeyote. SGR ilikuwa kwenye mipango tangu Mkapa na plan ilikuwa diesel kama ya Wakenya, Kikwete na serikali yake waliweka mpira kwapani.
Bwawa la umeme la Nyerere halikuwa kwenye plan ya yeyote ukiachia awamu ya Nyerere.
Umeme na maji ni awamu zote lakini angalia utekelezaji wake kwa kila awamu.

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1841633931545690420

Miradi mingi usingeweza kuiona mpaka unakufa kama sio Magufuli. Marais wengi wealikuwa waoga na hawana uthubutu,
 
Mkuu unakumbuka kuwa magu alivunja mpaka katiba kwa kumuondoa aliyekuwa CAG ludovick utouh hasa baada ya kukosoa sana uendeshaji wa miradi yake, mfano tu alikosoa sana utaratibu wa ununuzi wa ndege, kama kweli alikuwa anafanya vyema ikawaje akapanga mpaka kumuondoa Cag kinyume na taratibu.
Kama alikuwa anataka usafi asinge muondoa utouh hasa baada ya kuona ripot zake ziliibua wizi uliokuwa unaendelea .
Ishu ya Samia sijasema kuwa haibiwi lakini point Iko hivi ndani ya muda mfupi kafanikisha kumaliza mpaka miradi ambayo aliacha magu wakati magu alipoingia madarakani Kuna miradi kibao ya kikwete kama bagamoyo port ,denge eco village na kadha wa kadha Aliitangaza kuwa Ina ufisadi na akaitelekeza , Kuna barabara kibao alizoziacha kikwete zimekuja kamilika na baadhi ujenzi wake kufufuliwa kipindi Cha Samia eg tabora - manyoni lakini tukiwaambia humu mnasema kampeni.
Magu alianzisha miradi mingi ambayo hakuimaliza na mingi ilikuwa siasa huyu karidhi miradi viporo mingi. Kwahiyo mnachotaka aiache Ile ya magu ife kama alivyofanya magu kwa ya kikwete ndo tuanze kumsifia
kaka hili group sio la siasa hilo moja alaf la pili hakuna rais aliwahi kua na uthubutu wa jambo lolote kama magufuli hata leo ukimuamsha mtu alielala sasa hvi hawez kupepesa macho kwenye hili, leo tunazungumza Air tanzania kifua mbele kwasababu yake, leo tunavimba na SGR kwasabbau yake, leo tunanyanyua kwapa kua na umeme wa uhakika kwasababu alifanya maamuzi magumu yaliowashinda wengi kama kujenga bwawa la rufiji ambalo wazungu hawakutaka kuona bwabwa lile likijengwa, leo tunaona stendi za bus kila mkoa ni kwasababu alithubutu kufanya hvo na sio kufanya tu mpaka kusimamia, leo tunaongelea bandari ya dar tanga na mtwara kuboreshwa yote aliyafanya kwa maamuzi magumu sana hata kukataa bagamoyo port ni kwaajili ya maslahi ya taifa hili, kabla yake tanzania ilikua inayetemea rada moja, leo hii tanzania ina rada zisizopungua tano za kisasa ni kwa uthubutu wake, hospitali ziliboreshwa na maadili ya watumishi wa uma yalirudi, leo hii jaribu kupeleka pua yako amana hospital au hospital yoyote ya serekali ukaone vituko, mm nilienda amana hospital kipindi cha awamu ya magu huduma nilioipata tena kwa unyenyekevu siwez ipata pale tena kamwe, hakuna tena nidhamu hakuna uoga kabisaa yani yamerudi mambo yaleeeeee ya enzi za mkwere,

hebu ww taja mradi mmoja aliacha kikwete haukukamilika mradi ambao unatija na taifa hili hebu taja nione

leo tunajivunia flyovers na interchanges yote sikwasababu ya uthubutu wake au unafkiri zinashushwa kutoka mbinguni??

hawa wakenya unaobishana nao walikua hawana raha kipindi chake na mpaka leo waulize watakwambia alioipaisha tanzania ni nani mpaka sasa ni tishio kwao watakwambia magufuli tena very clear

angalia athari za corona zilivoangamiza africa unafkiri isingekua utayar na thubutu wake tungekua kwenye hali gani???? magu was a pure genius, amelinusuru sana hili taifa kwa uwezo aliojaaliwa na MUNGU, hatusemi hakua na mapungufu lakini tukiweka mizani pia itatupa majawabu

bro ngoja nikwambie kitu hakuna vita mbaya duniani kama vita vya uchumi usiombe hio vita, ndio vita alivopigana magufuli kufufua shirika kama air tanzania ambalo lilikua na madeni chungu mzima na bado lilihujumiwa na na precision air pamoja na kenya airways kwa miaka mingi sana is not a joke mzee hio vita acha kabisa

tuendeleee kula supu nyama tutazikuta chini
 
Mkuu nimeapa hii mada tuiache tu maana hapa tukiongelea itaonekana tuko kisiasa wakati sivyo. Ili tuendelee lazima tutengeneze system sio hii ya Sasa hivi ambayo maendeleo tunayaangalia kwa jina la mtu.
Tuachane na hii mada
 
Back
Top Bottom