Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwezi kupunguza foleni kwa kupanua barabara. Baada ya muda zitakuwa hazitoshi,tE mpaka wapi? RELIABLE PUBLIC TRANSPORT NDIO INAONDOA KERO YA FOLENI. una majiji makubwa duniani yana barbara pana na za kisasa lakini foleni iko pale pale. Mwendokasi haijawekwa kuremba mji ni njia sustainable ya kuondoa kero ya foleni. Inakupoa option uamue kukaa kwenye gari yako masaa mawili au upande bus 25 minutes kufika mjini. Tumefanya uzembe kwenye uendeshaji awamu ya kwanza ndio maana tumefika hapa. Mradi ulianza vizuri na watu wengi walikuwa wanaacha magari lakini kama kawaida yetu upuuzi wa jadi tujauharibu mradi wenye wamagari wakarudia magari yao.
BRT Hatujaianzisha sisi
Tuli Copy toka kwa Wengine
Na Sio kwamba BRT ndio inaweza maliza Foleni kamwe
Ndio maana Miji waanzilishi wa Hiyo BRT wana Treni mjini Barabara Juu na Chini
Kuna kila Aina Ya Usafiri lakini Huwezi kuta Bara bara Muhimu na Iliyo na Magari mengi inajengwa njia 4 eti kisa wana BRT!!
Dar Inakuwa watu wanaongezeka kila kukicha na Sio lazima Wote Tutumie BRT
Kujenge Kidaraja Njia 4 Dar mwaka 2025 ni Ufinyu wa kufikiria Kesho yake
 
Mambo mengine ya Ajabu kweli
Hivi Jangwani nipakujengwa Daraja Njia 4?
Yaani Kuna Viongizi na elimu yao Wamekaa na kubuni hilo nakujiona wamefanya Kitu cha maana kwa Dar Ijayo kweli!!
 
Hizo treni walijenga siku moja? Hio ni mifumo ya usafiri inajengwa kwa hatua. Kujaza lanes za barabara hakuondoi foleni. Ukiimarisha public transport unapunguza foleni na watu wanapata option ukitaka kukaa foleni utakaa ukiamua upande bus unaachana na foleni.
BRT hatujaanzisha sisi kwani kuna nini tumeanzisha sisi? Hizo lanes 8/12 sisi ndio waanzilishi?
 
Kwa utaalamu wako unafikiri lanes ngapi ndio sahihi pale?
 
Hizo treni walijenga siku moja? Hio ni mifumo ya usafiri inajengwa kwa hatua. Kujaza lanes za barabara hakuondoi foleni. Ukiimarisha public transport unapunguza foleni na watu wanapata option ukitaka kukaa foleni utakaa ukiamua upande bus unaachana na foleni.
BRT hatujaanzisha sisi kwani kuna nini tumeanzisha sisi? Hizo lanes 8/12 sisi ndio waanzilishi?
Haya Niambie ni Mji gani Ulio Ondoa Foleni Kwa barabara Njia 4 kisa Kuwa Na BRT?
Nipe mfano wa mji wowote wenye Barabara Muhimu kama Jangwani Wenye Njia 4 na wakafanikiwa Kuondoa Folen
 
Dar es salaam. Kilwa road foleni imeisha baadaa ya BRT roads kuisha kabla hata ya mradi kuanza. Ubungo posta hakuna foleni baada ya brt kuanza na flyover kukamilika. Foleni inaanzia pale zinapotoka barabara 6 kuwa nne bottle neck na ndio maana wanatanua njia yote iwe njia sita. Anyway sikulazimishi ukubaliane na mimi kila mtu aamini anachoamini.

Nilikuuliza tu kwa utaalam wako unahisi lanes ngapi zitafaa hapo jangwani?
 
"Wanatanua Kuwa Njia 6"
Ila jangwani Inajengwa Njia 4

Da! Haya tuishie hapo
 
"Wanatanua Kuwa Njia 6"
Ila jangwani Inajengwa Njia 4

Da! Haya tuishie hapo
Ubungo mpaka kibaha 6. Kumbuka yule jiwe aliacha sehemu hio maalum kwa upanuzi huo baadae.
Wewe kwa utaalamu wako unafikiri hapo jangwani waweke njia ngapi?
 
Wewe kwa Utaalam wako Umeona Zinafaa Njia 4 Nimekuambia sawa Tusibishane Maana Kinacho angaliwa ni Kesho yake
Dar tuliyo nayo 2024 sio tutakayo 2030
Jangwani ni moja ya Barabara Kubwa za Mji wa Dar
Na Hata kwa kupendezesha Jiji Pale ukiwa kwenye Kilima Unaona Barabara inaingia Ndani ya Jiji majengo Marefu yanapendezesha Mji ajabu tunajenga Kinjia 4 kweli?
Yaani Kahama Wanatanua barabara kuwa Njia 4
mwanza Bara bara ya Airport imetanuliwa kuwa Njia 4 na bado Jion hali inakuwa Tete
Leo Jiji kama Dar Tujivunie kujengwa kidaraja cha Njia 4?
Kama lengo lao ni watu wapite Juu mvua Ikinyesha hapo sawa
Lakini kama Wana malengo ya Kesho na kupunguza Folen hapo ni ZERO
 
Hivi hizi pesa hatuwezi kujibana walau Kwa mwaka mmja Ili nusu ya hela tu share na Mwekezaji tujenge kiwanda Cha Mbolea ambazo tunaagiza zaidi ?

Mfano mbolea za urea,DAP,CAN na NPK.

Tuna kiwanda Dodoma ila kinazalisha mbolea tofauti na hizo na pia kusubiria kina Indonesia waje wakamlishe kiwanda Chao sio Leo Wala kesho.

Naona tunapoteza pesa nyingi sana,Bilioni 300 sio mchezo 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DBd5BiQuqwi/?igsh=cHI0bnc2b2hzbzNw
 
Ubungo mpaka kibaha 6. Kumbuka yule jiwe aliacha sehemu hio maalum kwa upanuzi huo baadae.
Wewe kwa utaalamu wako unafikiri hapo jangwani waweke njia ngapi?
Unaionaje raha Ukiwa unapita hapo kuanzia Kimara kwenda Kibaha na Je Ingelikuwa njia 4?
 
Hivi hizi pesa hatuwezi kujibana walau Kwa mwaka mmja Ili nusu ya hela tu share na Mwekezaji tujenge kiwanda Cha Mbolea ambazo tunaagiza zaidi ?

Mfano mbolea za urea,DAP,CAN na NPK.

Tuna kiwanda Dodoma ila kinazalisha mbolea tofauti na hizo na pia kusubiria kina Indonesia waje wakamlishe kiwanda Chao sio Leo Wala kesho.

Naona tunapoteza pesa nyingi sana,Bilioni 300 sio mchezo 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DBd5BiQuqwi/?igsh=cHI0bnc2b2hzbzNw

Kwenye imports Watu wanapiga hela ndefu huko , kama kwenye sukari tu, wewe unataka ujengewe kiwanda halafu iweje?
 
Wale wakunya
wanasema wana jidipii kubwa sana ,
This is your bitter reality,
6 Families control 90% of Kunyas GDP,
Such a wretched, Godforsaken country.

View: https://youtu.be/ZBqZu29yJTw?si=46GHtoDzHCsI51Ga
F8FEEE24-243C-4DDE-8926-06A68F6AC3FB.jpeg

Back
Top Bottom