Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,619
- 5,789
watolee wapi hawa wako busy kukimbizana na makamu wa rais.match iko live inachezwa usiku dodoma wao sijui kama wana mechi za usiku mbwa hawa😂😂
View attachment 3113430
watolee wapi hawa wako busy kukimbizana na makamu wa rais.match iko live inachezwa usiku dodoma wao sijui kama wana mechi za usiku mbwa hawa😂😂
View attachment 3113430
Umeona huo ukuta hapo ambao hauna rangi hiyo ni nyumba ya mama Mkapa hapo karibu na junction ya kwenda Shant na Moshi club hapo pote lami. Hunidanganyi kitu mitaa hiyo.Nimeipiga hii picha mwenyewe juzi alafu unasema ni ya Zamani? Kweli Bongolala ni bongolala tu. Yani mkishashikwa makende mlichobakia nacho kila mara ni kwamba picha ni a Zamani. 😂 😂
hatuna ukabila kama nyie ndio mana jina la mboya <ukoo> unawezalikuta mkoa mwingine na likiwa na mana hiohio bila kuathiri kitu, kiufupi tuetapakaa kote tz nzima kabila zote tumechanganyana kitu kwenu hamuwezi.Bro, hapo ni Moshi na nimeipiga picha mwenyewe. Hapo pembeni kulia ni gari langu nililokuja nalo. Yani nyinyi ni mazuzu kweli. Hamjaitembea nchi yenu mimi mgeni nawaonyesha ilivyo. 😂 😂 😂
Yani hivi kulingana na akili zako jina linalofaa kuandikwa Moshi ni Moshi tu? Kwa hivo ile guesthouse ya Isiolo Motel haipo Moshi, ipo Isiolo? Yani huna akili kabisa, ni kama unafikiria kwa makalio.😂😂😂
Hiyo ni Mboya Petrol station iliyo Moshi. Haimaanishi hapo ni Mboya wee boya.
Proof hii hapa - na mtembee nchi yenu mpo humu mnabishana kila siku wakati hata nchi yenu yenyewe hamuijui. Mnajua tu Dar na vijijini mlimotoka. 😂 😂 😂
View attachment 3113390
jamani mpaka JKiA so wataosha vipi vinyesi vyao 😂😂😂😂😂
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1841417461972742211?s=46
Mwambie huyu hapa anaitwa Malaika Cute. Mama Yake Mchaga, Baba yake Msukuma, Wazazi wake Waislam lakini kalelewa na Babu zake Wakristo.hatuna ukabila kama nyie ndio mana jina la mboya <ukoo> unawezalikuta mkoa mwingine na likiwa na mana hiohio bila kuathiri kitu, kiufupi tuetapakaa kote tz nzima kabila zote tumechanganyana kitu kwenu hamuwezi.
Zinaongezwa mbili zitakuwa 8. Mbili za BRT na zingine tatu tatu kila upandeHivi from ubungo to kimara inapanuliwa kuwa njia ngapi maana sasa hivi ni 6 lanes excluding service roads.
Ngoja wa Dar waje kukupa majibuHivi from ubungo to kimara inapanuliwa kuwa njia ngapi maana sasa hivi ni 6 lanes excluding service roads.
Huku TZ tulishatoka zamani sanaKwale Stadium taking shape.
![]()
Rais wa Sumsung Yupo Bongo. Wanaenda kwenye pesa tu.
View: https://x.com/ikulumawasliano/status/1841820569467052157
Soon tutaanza ku manufacture trains in Tanzania 😁Acheni ujuha na kuassemble mabus sisi tupo ktk kuunda ndege 😁
sijapita hio njia muda sana sijui kunaendeleaje.Hivi from ubungo to kimara inapanuliwa kuwa njia ngapi maana sasa hivi ni 6 lanes excluding service roads.
Zinaongezwa mbili zitakuwa 8. Mbili za BRT na zingine tatu tatu kila upande
View: https://youtu.be/NPICS-64fjI?si=sfBvdW3UVd37kzBQ
Lami yenyewe iko wapi basi? Ama nimeedit picha na photoshop nikaitoa? 😂 😂 😂Umeona huo ukuta hapo ambao hauna rangi hiyo ni nyumba ya mama Mkapa hapo karibu na junction ya kwenda Shant na Moshi club hapo pote lami. Hunidanganyi kitu mitaa hiyo.