NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,037
- 19,222
Niliulizia nikaambiwa mmiliki ni Mkenya.So jina likiwa hivyo ndio tayari mmliki?
Niliulizia nikaambiwa mmiliki ni Mkenya.So jina likiwa hivyo ndio tayari mmliki?
Bro, hapo ni Moshi na nimeipiga picha mwenyewe. Hapo pembeni kulia ni gari langu nililokuja nalo. Yani nyinyi ni mazuzu kweli. Hamjaitembea nchi yenu mimi mgeni nawaonyesha ilivyo. 😂 😂 😂Na hapa ni wapi kijana?
Unaikumbuka hii ndiyo Mboya uliyodownload ukijifanya Umefika Sijui Mpakani Mara moshi. Wakati ni kijiji huko Tabora
View attachment 3113149
sio miaka mitano tu kiwe na wanachama hai zaidi ya 100 wenye akili timamu 😂😂😂Duh hawa kumbe kuanzisha Chama ni kama kwenda kununua toilet paper dukani 😂😂😂 Tanzania mpaka Chama kisajiliwe sio chini ya miaka mitano
Wewe ni Clemence Benard Kipande?Bro, hapo ni Moshi na nimeipiga picha mwenyewe. Hapo pembeni kulia ni gari langu nililokuja nalo. Yani nyinyi ni mazuzu kweli. Hamjaitembea nchi yenu mimi mgeni nawaonyesha ilivyo. 😂 😂 😂
Yani hivi kulingana na akili zako jina linalofaa kuandikwa Moshi ni Moshi tu? Kwa hivo ile guesthouse ya Isiolo Motel haipo Moshi, ipo Isiolo? Yani huna akili kabisa, ni kama unafikiria kwa makalio.😂😂😂
Hiyo ni Mboya Petrol station iliyo Moshi. Haimaanishi hapo ni Mboya wee boya.
Proof hii hapa - na mtembee nchi yenu mpo humu mnabishana kila siku wakati hata nchi yenu yenyewe hamuijui. Mnajua tu Dar na vijijini mlimotoka. 😂 😂 😂
View attachment 3113390
Kwahiyo mnaingia Tanzania kwa njia za Panya? Hii inathibitisha maisha duni ya wakenya. Hakuna Mtanzania wa kwenda Kenya kinyemelaYves kapitia barabara Class A and B na ni za vumbi. Hiyo barabara ya Kenya ni unclassified road yani kichorochoro. It's not even wise to tarmac the road because it's a forest road and that's not good for the environment. Tazama upande wa Tanzania kuna settlement, upande wa Kenya ni msitu.
View attachment 3113379
Wengi wanaotumia hiyo njia ni Watanzania wanaotafuta vibarua upande wa Kenya maanake wages za Kenya ziko juu ya za Tanzania.Kwahiyo mnaingia Tanzania kwa njia za Panya? Hii inathibitisha maisha duni ya wakenya. Hakuna Mtanzania wa kwenda Kenya kinyemela
View: https://vm.tiktok.com/ZGd1nSdS5/ ukiangalia vizuri video ya jamaa utajua how kundustan ni maskini,upande wa TZ full tarmac road upande wa kundusta ni vumbi tupu,hawa wangese ni maskini sana kwa kujitapa sasa eti wana network kubwa ya barabara kuliko TZ while in ground ni tofauti
Mbona maelezo mengi wakati video inajieleza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hapo ni Rongai. Ninspajua sana hapo. Upande wa Kenya ni msitu, upande wa Tanzania Kuna kitown cha majengo ya mabanda ya mbao kinaitwa Rongai. Hiyo Barabara ya side ya Tanzania ni part of Barabara kuu inayouzunguka Mlima Kilimanjaro. Upande wa Kenya ni kichorochoro Cha msituni ila ukivuka huo msitu unaingia Oloitokitok ambako Kuna Barabara ya lami inayotoka Tarakea Hadi Email. Ulitegemea Kenya tujenge Barabara isiyoserve yeyote?
Yani sisi tunaona vumbi yeye anasema pori wakati video inajieleza 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Endelea kujifurahisha,border zote upande wa ukunyan ni takataka,kule taveta most of kunyan matibabu,chakula yan mahitaji mengi ya kibinadamu wanayapata holili upande wa TZ,kama hapo rongai ukunyan ni vumbi tupu halafu unadai ni pori
Na halafu kuna viboda boda vyao vipo upande ule wakisubiria abiria wa ukunyan waliocross border to TZ kufuata mahitaji,yule jamaa pimbi kweli,analazimisha nyeusi iwe nyeupe!Yani sisi tunaona vumbi yeye anasema pori wakati video inajieleza 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Dunia yote inajua wakenya wapo na maisha duni and uncivilized. Hamfuati sheria na Taratibu.Wengi wanaotumia hiyo njia ni Watanzania wanaotafuta vibarua upande wa Kenya maanake wages za Kenya ziko juu ya za Tanzania.
Fundi gonga nyundo anabweka kweli wakati anatumia nguvu zaidi ya akili 😂😂😂 kitu ambacho hata Kichaa anakiweza ndio maana kila siku kubwata eti mabasi, wafike huku tuwaone sasa, hapo hapo safari SUVs zao zote zinatoka Tanzania 😂😂Hi tech manufacturing. Fundi Majiko ya mkaa na sufuria tumeachia english speakers 🤣🤣🤣🤣
Wewe huna akili, Yves kapita kwenye pori na national parks mpaka akavaa net zaidi ya wiki hakuna makazi kabisa analala kwenye tents na barabara yote ipo under construction, af unaongea kitu gani hapa?Yves kapitia barabara Class A and B na ni za vumbi. Hiyo barabara ya Kenya ni unclassified road yani kichorochoro. It's not even wise to tarmac the road because it's a forest road and that's not good for the environment. Tazama upande wa Tanzania kuna settlement, upande wa Kenya ni msitu.
View attachment 3113379
Duh huyu bwege kweli jeuri, licha ya shida zote, njaa na umaskini walio nao kwa sasa bado anajipiga kifua kwamba watanzania ndiyo wanaenda Kenya, licha ya mkenya mwenzake kwenye video kuweka wazi kwamba huwa wanavuka illegally kuja Tz lkn msenge bado anakanusha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wengi wanaotumia hiyo njia ni Watanzania wanaotafuta vibarua upande wa Kenya maanake wages za Kenya ziko juu ya za Tanzania.