Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiacha bloggers hadi Chawa wa Kenya wanatamani wangezaliwa Bongo, alafu hizi jamaa humu bado zimeshupaza shingo? Amkeni nyie akina Teargas , njooni muwe hata chawa wa Chairman ichoboy01 hamtalala njaa……..mwenzenu ndio anatoboa hivyo shauri yenu😅😅😅
kaka bora niishi na mbuzi au kuku lakini sio mkenya 😂😂😂😂😂

labda watafute mfadhili mwingine wapo wengi kama kina p didy
 
hatuna ukabila kama nyie ndio mana jina la mboya <ukoo> unawezalikuta mkoa mwingine na likiwa na mana hiohio bila kuathiri kitu, kiufupi tuetapakaa kote tz nzima kabila zote tumechanganyana kitu kwenu hamuwezi.
Sasa kabila zimeingilia wapi? Umesoma post ukaelewa ama unabwabwaja tu? Kawaeleze wenzako wanaopinga hapo sio Moshi kisa wameona neno Mboya. 😂 😂
 
wewe ndio huelewi kitu kenmge wewe hio mada ilikuwa ya jana na umeitolea majibu leo pia jana umewekewa sehemu nyingine inaitwa mboya ndio maana na mimi nikakuambia kama hapo ni uchagani sawa haina mana kuwa hamna sehemu hapaitwi hivyo. Mimi ni mchaga na tumesambaa sana kukuta eneo inaitwa kwa tairo au kwa mushi na halipo mkoa wa kilimanjaro ni kawaida .
 
Sometimes, some people try to hide their ineptness, lack of knowledge and embarrassment from being exposed in a joke. That's what you're trying to do but it's not working.
Shida yako we jamaa unakuja bongo na mikogo mingi kama vile unatoka Scandinavia, USA, EUROPE.

Kumbe unatoka linchi lenye mji mmoja na mji huo umejaa uvundo.

Na Bongo by miles ina infrastructure za kisasa hizo hizo ambazo mnajenga Bongo inawapiga gape.

Mnajiita nchi tajiri ila mna slums na Pipelines kama zote, Food insecurity ya kutosha Nchi Tajiri gani inasumbuliwa na njaa? Hamuwezi finance miradi hadi mikopo na GDP yenu kubwa plus Shilling kubwa?

Umeenda moshi umeupachika Highest standards of Livings, kama vile unaongelea Dar.

Alafu Sisi tushakataa vijiji kukosa barabara?

Mbona tupo tunakiri Zamani tulikua tunazungikia Nairobi ila not nowdays ila ukute hapo unahold ile mentality tuliyokua tunapitia NBO.

Amka kijana Bongo inakimbiza Ndani ya hii miaka 7 ya Battle development za Tanzania zinavuka $50bil nyie ziko wapi zaidi ya Madeni?
 
Wachawi won’t believe.

1727975627864.jpeg
 
wewe ndio huelewi kitu kenmge wewe hio mada ilikuwa ya jana na umeitolea majibu leo pia jana umewekewa sehemu nyingine inaitwa mboya ndio maana na mimi nikakuambia kama hapo ni uchagani sawa haina mana kuwa hamna sehemu hapaitwi hivyo. Mimi ni mchaga na tumesambaa sana kukuta eneo inaitwa kwa tairo au kwa mushi na halipo mkoa wa kilimanjaro ni kawaida .
Nenda hospitalini, huenda una ugonjwa wa akili. 😂 😂
 
Shida yako we jamaa unakuja bongo na mikogo mingi kama vile unatoka Scandinavia, USA, EUROPE.

Kumbe unatoka linchi lenye mji mmoja na mji huo umejaa uvundo.

Na Bongo by miles ina infrastructure za kisasa hizo hizo ambazo mnajenga Bongo inawapiga gape.

Mnajiita nchi tajiri ila mna slums na Pipelines kama zote, Food insecurity ya kutosha Nchi Tajiri gani inasumbuliwa na njaa? Hamuwezi finance miradi hadi mikopo na GDP yenu kubwa plus Shilling kubwa?

Umeenda moshi umeupachika Highest standards of Livings, kama vile unaongelea Dar.

Alafu Sisi tushakataa vijiji kukosa barabara?

Mbona tupo tunakiri Zamani tulikua tunazungikia Nairobi ila not nowdays ila ukute hapo unahold ile mentality tuliyokua tunapitia NBO.

Amka kijana Bongo inakimbiza Ndani ya hii miaka 7 ya Battle development za Tanzania zinavuka $50bil nyie ziko wapi zaidi ya Madeni?
Machungu ya nini kaka? 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom