Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtaanza kuokota picha za vichorochoro Kenya mjifyrahishe eti hamna Barabara Kenya kisa tuliwaumbua jinsi Barabara zenu nyingi ni vumbi. Hii hapa barabara kwenye mtaa wa Kifahari wa Shanty Town, Moshi na ni vumbi tupu.🤣🤣

View attachment 3114086
Halafu inaelekea wewe either unafanya kazi kwenye hoteli moja hapo moshi ama umemfuata ndugu yako anayefanya kazi hapo Sal salnero 🤣🤣🤣🤣
 
Hayo ndio maneno sasa sio unaongea tuu bila ushahidi mjadala utakuwa hauna maana.
 
Ikiwa barabara muhimu kama hiyo ya kuliunganisha taifa lenu la wapumbavu na Tz haina lami sasa je barabara za mikoa yenu zitakua na lami kweli.? 😂😂😂
Barabara gani hio muhimu haina hata customs office? 🤣 🤣 🤣 Stop forcing issues, Border point ndio hii hapa complete with customs office. Ebu ona pande ya bongoslum vile iko infested with poverty hata parking ya trucks hakuna. 🤣🤣🤣

ScreenShot Tool -20241003133937.png
 
Hiyo picha ni ya zamani hapo kote kuna lami hapo sasa hivi.
Na njia kubwa ya kwenda Shant town umeiacha hapo nyuma kidogo mkono wako wa kukia all tarmac.
Nimeipiga hii picha mwenyewe juzi alafu unasema ni ya Zamani? Kweli Bongolala ni bongolala tu. Yani mkishashikwa makende mlichobakia nacho kila mara ni kwamba picha ni a Zamani. 😂 😂
 
Back
Top Bottom