President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,057
- 93,451
Huwezi kutumia Google au ChatGPT?Kuna hospitali Gani Tarakea?
Huwezi kutumia Google au ChatGPT?Kuna hospitali Gani Tarakea?
Hakuna cha ajabu hapo. Taa zote zinamulika kwenye majukwaa. Kwani mpira unachezwa kwenye majukwaa?? Pitch gizaa..Kwale Stadium taking shape.
![]()
Mm I'm 100% sure hakuna mtanzania akiulizwa unataka uzaliwe wapi kati ya Tanzania au Kenya alafu akachagua Kenya ila more than 3/4 ya wakenya wakifa alafu wakapewa option wazaliwe Tanzania au Kenya watachagua Tanzania.
Tunazidi kuwachimba tuUongo wote tunafichua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ligi yao ni mwiko kuchezwa usiku, hapo ndiyo wamejitutumua ili ku catch up na NBC 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hakuna cha ajabu hapo. Taa zote zinamulika kwenye majukwaa. Kwani mpira unachezwa kwenye majukwaa?? Pitch gizaa..
Tatizo wanafanya vitu vyao kushindana na Tanzania. Tanzania has many sources of revenue, sources zao ni Limited.Ligi yao ni mwiko kuchezwa usiku, hapo ndiyo wamejitutumua ili ku catch up na NBC 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sisi hatuongei. Wanaongea wengine
View: https://www.instagram.com/reel/C_3dus6SACf/?igsh=MXFsdzJ2bnhubjltYQ==
Sisi hatuongei. Wanaongea wengine
View: https://www.instagram.com/reel/C_3dus6SACf/?igsh=MXFsdzJ2bnhubjltYQ==
Hapo kati Dodoma BRT 😁Hii ndio itakua single road yenye longest sidewalk in the region, sio roadsholder hizi.
View attachment 3113954View attachment 3113955
Mimi huwa najiuliza siku zote hawa huo mtandao wa lami kilometers hizo wanazitoa wapi?Uongo wote tunafichua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa kipi mlichonacho hadi mzungu afike aone hapo kundurenda republic ni paradiso.? 😂😂😂 vitu zenye mna brag humu kutuzidi ni expres way, je mzungu aone ajabu kuhusu barabara.? 😂😂😂 au gorofa.? 😂😂😂Tukianza kupost foreigners wanaokuja Kenya na wanaiona paradise si mtatuchoka humu? Tofauti hizi vitu tulishaavizoea, nyie ndio mmeanza kuviskia. 😂 😂
Hiyo picha ni ya zamani hapo kote kuna lami hapo sasa hivi.Mtaanza kuokota picha za vichorochoro Kenya mjifyrahishe eti hamna Barabara Kenya kisa tuliwaumbua jinsi Barabara zenu nyingi ni vumbi. Hii hapa barabara kwenye mtaa wa Kifahari wa Shanty Town, Moshi na ni vumbi tupu.🤣🤣
View attachment 3114086
Weka ushahidi hapa kwa faida ya wote hatutaki maneno ya upande wa kanga hapa