ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,427
- 88,515
Kenya sii lazima uwe mji wa maana, hata vijijini tu utapata apartments. Mfano, hapa ni Illasit border post. Apartment zipo. Upande wa Vumbistan ni vitenge architecture dreamhouses.Hebu eleza kwanza maana ya mji na maana ya apartment in kenyan point of view ili tuweze ku deal na wewe perpendicular.
Ukitupia picha ya skyleader yanakaa kmy, yanaona wivuuuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Vumbi kama Sayari flani kule 😂 Mars、 Kumbe hapa hapa mjini CBDEEEEE 😂 Times and CBK towers kwa mbele pale, Ki Hiace Kipo mjini lakini kimejaaa Tope nusu gari na haijulikani ni rangi gani 😂
Wakundustan Wachafu aisee
View attachment 3113788
Jibu swali mdogo wangu acha kukimbilia porini.Kenya sii lazima uwe mji wa maana, hata vijijini tu utapata apartments. Mfano, hapa ni Illasit border post. Apartment zipo. Upande wa Vumbistan ni vitenge architecture dreamhouses.
Illasit
View attachment 3113827
Tarakea
View attachment 3113828
😂😂😂😂 hii nchi watu wamechanganyikiwa
View: https://x.com/nationafrica/status/1841712438804115927?s=46
Hivi unajua Wakenya upande wa Rombo Kenya wanakuja hospitali za Tanzania na mahitaji yao wanapata huko Tarakea?Kenya sii lazima uwe mji wa maana, hata vijijini tu utapata apartments. Mfano, hapa ni Illasit border post. Apartment zipo. Upande wa Vumbistan ni vitenge architecture dreamhouses.
Illasit
View attachment 3113827
Tarakea
View attachment 3113828
Hiyo ndio English yao inayotumia tafsida kama electrical disturbance na kwenye barabara unclassified Road 🤣🤣🤣🤣Na Tanzania imepakana na nchi 8 zote zina multiple tarmacked road routes towards the borders ninyi ukiondoa Uganda na Ethiopia, kidogo na Tanzania huko kote ni vumbi na mashimo, halafu unaona ukisema unclassified ndio itakuokoa kumbe ndio unajidhalilisha
😂😂😂😂 hii nchi watu wamechanganyikiwa
View: https://x.com/nationafrica/status/1841712438804115927?s=46
Kuna hospitali Gani Tarakea?Hivi unajua Wakenya upande wa Rombo Kenya wanakuja hospitali za Tanzania na mahitaji yao wanapata huko Tarakea?