Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naangalia mpria hapa unachezwa Majaliwa Stadium Lindi, Usiku huu Saa Tatu.

Kundustan hebu tuonesheni just one Match ya Usiku.

IMG_20241003_212644_250.jpg
 
Hapo ni Rongai. Ninspajua sana hapo. Upande wa Kenya ni msitu, upande wa Tanzania Kuna kitown cha majengo ya mabanda ya mbao kinaitwa Rongai. Hiyo Barabara ya side ya Tanzania ni part of Barabara kuu inayouzunguka Mlima Kilimanjaro. Upande wa Kenya ni kichorochoro Cha msituni ila ukivuka huo msitu unaingia Oloitokitok ambako Kuna Barabara ya lami inayotoka Tarakea Hadi Email. Ulitegemea Kenya tujenge Barabara isiyoserve yeyote?
Acha ufala wewe hapo tayari kuna mwingiliano wa watu wa nchi mbili, kuna demand already, kubalini ni mnasumbuliwa na ufukara tu, Hivi mkubwa Zakayo alienda wapi vile, kutafuta hisani ili apate pesa ya kuendeleza barabara zilizosimama ila majirani. 😂. Hivi hiyo GDP yenu kubwa ina msaada gani mkubwa zaidi ya utapeli tu.
 
Back
Top Bottom