Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenyan made
Imported by Tz
Kenya ipewe heshima

View attachment 3113612
View attachment 3113613
Kenya ikipewa heshima, Tanzania ipewe nn, wakenya washamba sana👇👇🤣🤣🤣
Screenshot_20241002-210004~2.png
 
Umesema hiyo barabara yenu haina lami kisa ni pori, sasa niambie kati ya hii ya Tanzania ambayo ipo under construction na hiyo yenu ambayo hata haina classification yoyote ipi ina makazi ya watu wengi? Kama makazi ya watu ndio kigezo cha kujenga barabara ipi inapaswa kujengwa haraka

Tanzania
View attachment 3113596

Kunyaland View attachment 3113597
Huelewi chochote kuhusu road classification. Wacha nikuache.🚮🚮
 
Huelewi chochote kuhusu road classification. Wacha nikuache.🚮🚮
Barabara inayoenda kwenye international boarder inakosaje classification? Mpo hovyo kweli, mmekaa kupika data tu ndio kitu serikali yenu inajua na ufisadi, fake data zinaonesha mna barabara nyingi mara 3 ya Tanzania yet nchi yenu ni nusu ya Tanzania na bado hamna barabara ya maana towards boarder posts zenu almost zote, hizo barabara ni za ndege hewani?
 
Back
Top Bottom