ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Duuu hii ni level ya ndondo cup Kwa bongoKenya Premier League ,
Can someone Spot a single spectator out for this poor facility ?
Tazama pitch ilivyopauka na vipara,
Azam Kwanini asirushe hata ligi ya Rwanda ? Nini hiki ?
View attachment 3110080View attachment 3110081
Mtalii analalamikia $44? Maajabu😂😂Hawa wakenya waache kulalamika kwa nini wasiende tu Mombasa kama wanaona tabu kulipa?
Wanafikiri funding ya SGR ni sawa na kula mokimoo 😁watu wanataka SGR sio expressway mzee SGR kupeleka malaba imewatoa kamasi mpaka leo 😂😂😂😂😂😂
sahvi hamuna mradi hata mmoja mumeona mupost za uganda sasa😂😂
juzi mulikua munashangilia SGr inajengwa kwenda malaba ya iko wapi hio SGR
SUMA JKT wamekabidhiwa kujenga viwanja 5 na wizara ya Michezo ndani ya jijij la Dar
View: https://youtu.be/LmD0D8kZFgU?si=psv3vwfU76jx2xEF
Miezi mitatu; Nadhani vitakuwa vya mazoezi.Hawajasema ni viwanja gani, na pia render hawajatoa.
kashawakusanya watu sasa anaanzisha chama na yeye yani kenya maskini atabaki maskini na mwanasiasa atabaki kula keki ya nchi mpaka kufa 😂😂😂😂😂
View: https://x.com/morarakebasosnr/status/1841181239749034076?s=46
Hata ndondo cup yetu hujaza watu kuliko hiyo premier league yao 🤣🤣🤣Duuu hii ni level ya ndondo cup Kwa bongo
Katikati mwa mji Sasa.🤣
View attachment 3111433
Ila vumbi jo. 😂Unaona mji ulivyo msafi
Hebu tuambie, kwanini hamjisafishi na maji baada ya kunya?Ila vumbi jo. 😂
watamlipa adani pesa nyingi sana wakivunja mkataba 😂😂😂😂Wanafikiri funding ya SGR ni sawa na kula mokimoo 😁
Sasa hivi serikali inaomba diaspora wa fund Jua Kali Intanashonali Airport baada ya deal la Adani ku collapse 🤣🤣🤣
View: https://vm.tiktok.com/ZGd1nSdS5/ ukiangalia vizuri video ya jamaa utajua how kundustan ni maskini,upande wa TZ full tarmac road upande wa kundusta ni vumbi tupu,hawa wangese ni maskini sana kwa kujitapa sasa eti wana network kubwa ya barabara kuliko TZ while in ground ni tofauti