ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,421
- 88,513
Oya kuanzia kijazi pale hilo eneo ni ulaya kabisa aiseee.hili eneo barabara za BRT zikikamilika litakua lamoto balaa 👇🏾View attachment 3112034View attachment 3112036View attachment 3112037
Kichaa huyo, yn haoni kama Ally star wanacheka lori la Kenya, yn mtu atoe kochi classic from china aweke mitambaa ya master🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yaani huoni hiyo ni mocking?
Hapo ndio pesa ya Ally’s Star ilimfikisha. Angetoa pesa mzuri angetengenezewa bus mzuri kama za Buscar, but juu pesa yake ni kidogo, amepata Nyaugenya😂😂Yaani huoni hiyo ni mocking?
Endelea na Garages zenu huko mkiziita Assembly wakati huku Dar kila kona zimejaa. Sisi kwa sasa tupo huku. Tunashindana na USA, Russia and China
NDEGE YA KWANZA KUTENGENEZWA TANZANIA YAANZA SAFARI NDANI NA NJE
View: https://youtu.be/LwHT4f2mas4?si=43WLQImdRai04r6Y
DreamGive it two years alafu uone hao wazungu wakihamia Kenya. Kwanza tangu hizo mitungi ziunganishwe hapo hazijainunuliwa 😂😂
wamechoka na Dar Port wamehamia Mombasa😂😂👇👇👇
View: https://x.com/JustinOscarJr/status/1841019085292745195
Gerezani Bridge hulijui? Pale Puma HQ kulikuwa na daraja dogo ambapo chini ilikuwa inapita MGR. Sasa hivi kuna daraja kubwa linaruka Puma HQ hadi Kilwa road. Hio ndio Gerezani bridge.Kwenye Ilani ya CCM 2020 Kipindi hicho (Madaraja yanayoendelea kujengwa) page 68
View attachment 3112303
1. Kigongo Busis (Almost Done)
2. Ruhuhu Bridge ✅
3. Salender (Tanzanite Bridge) ✅
4. Wami Bridge ✅
5. Pangani Bridge ✅
6. Kitengule Bridge ✅
7. Msingi Bridge ✅
8. Gerezani Bridge ?
Ruhuhu Bridge
View attachment 3112309
Oh!! Asante kaka.Gerezani Bridge hulijui? Pale Puma HQ kulikuwa na daraja dogo ambapo chini ilikuwa inapita MGR. Sasa hivi kuna daraja kubwa linaruka Puma HQ hadi Kilwa road. Hio ndio Gerezani bridge.
Hii Report ya TANROADS kuhusu BRT II nimeipenda sana kuhusu Trafic light Control.
Check it here
View: https://youtu.be/mb3dzEPqMqk?si=Tgs8M581J_QE-pBX
Bongo watu wanasafiri kinoma.. imagine bus zinajaa daily kama kawa na treni inapiga nyomi la kuzidi kama kafa shoga.