Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Probox inatengenezwa hadi leo hii. Production has never stopped.
Tuoneshe New Model iliyoagizwa Kenya 2021 per this information

1727710553825.png
 
Wanakuambia hawana matatu. Vans zao zote ni za kuanzia 2006 kurudi nyuma.🤣🤣


View attachment 3111206
Hizo za route za huko vijijini...shangaa villages za Tanzania ambavyo zina route za Daladala kabisa...

Ok panda hiyo nenda nayo hata Arusha tu 72km uone kana utaikuta...
Lakini... Mombasa to Nairobi ziko kibao imagine...na zinawaua kwelikweli
 
Your source is tomato sauce.
Source hizi hapa: Unajifanya kipofu 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇

 
Vumbistan 70% ya transport kwa town ni tuktuk. Imagine hapa ni CBD main street.
View attachment 3111364
Ila hii inachekesha sana Yani ufike kamtaa kamoja upige picha bajaji tano kwa parking halafu utoe overview ya mji mzima within a minute 😂😂😂😂 , Moshi CBD 👇🏾
IMG_1776.jpeg
IMG_1778.jpeg
IMG_1780.jpeg
mbona wewe umezoea kuongea uongo mpaka unataka udanganye watu na nchi yao.? 😂😂😂
 
Back
Top Bottom