Hamna watalii hapo kutoka Kenya bali ni wafanyakazi wakifuata kazi za mahotelini Zanzibar wamejaa tele wala hatuna shida nao maana tunajua wametoka maisha gani huko kwao.Hawa wakenya waache kulalamika kwa nini wasiende tu Mombasa kama wanaona tabu kulipa?