Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolalas mnakuanga petty as f*ck. 🤣 🤣 🤣 Bongoslum ikona a town on that borderline while on the Kenyan side Oliotoktok town haiko kwa border line, the borderline it's barely inhabited, in fact ni msitu ya KFS. That's why hakuna customs office hapo.
Show us other place ambazo zipo border
 
View: https://vm.tiktok.com/ZGd1nSdS5/ ukiangalia vizuri video ya jamaa utajua how kundustan ni maskini,upande wa TZ full tarmac road upande wa kundusta ni vumbi tupu,hawa wangese ni maskini sana kwa kujitapa sasa eti wana network kubwa ya barabara kuliko TZ while in ground ni tofauti

Hapo ni Rongai. Ninspajua sana hapo. Upande wa Kenya ni msitu, upande wa Tanzania Kuna kitown cha majengo ya mabanda ya mbao kinaitwa Rongai. Hiyo Barabara ya side ya Tanzania ni part of Barabara kuu inayouzunguka Mlima Kilimanjaro. Upande wa Kenya ni kichorochoro Cha msituni ila ukivuka huo msitu unaingia Oloitokitok ambako Kuna Barabara ya lami inayotoka Tarakea Hadi Email. Ulitegemea Kenya tujenge Barabara isiyoserve yeyote?
 
Bongolalas mnakuanga petty as f*ck. 🤣 🤣 🤣 Bongoslum ikona a town on that borderline while on the Kenyan side Oliotoktok town haiko kwa border line, the borderline it's barely inhabited, in fact ni msitu ya KFS. That's why hakuna customs office hapo.
Endelea kujifurahisha,border zote upande wa ukunyan ni takataka,kule taveta most of kunyan matibabu,chakula yan mahitaji mengi ya kibinadamu wanayapata holili upande wa TZ,kama hapo rongai ukunyan ni vumbi tupu halafu unadai ni pori
 
Hapo ni Rongai. Ninspajua sana hapo. Upande wa Kenya ni msitu, upande wa Tanzania Kuna kitown cha majengo ya mabanda ya mbao kinaitwa Rongai. Hiyo Barabara ya side ya Tanzania ni part of Barabara kuu inayouzunguka Mlima Kilimanjaro. Upande wa Kenya ni kichorochoro Cha msituni ila ukivuka huo msitu unaingia Oloitokitok ambako Kuna Barabara ya lami inayotoka Tarakea Hadi Email. Ulitegemea Kenya tujenge Barabara isiyoserve yeyote?
Huyo mkenya kaja na barabara gani mpaka hapo mpakani? Kwani kama kuna msitu ndio hapaswi kuwa na lami? Kwanini kipindi kile mlikua mnaongea shit kuhusu Tanzania yule Yves mzungu aliekua akipita msituni kabisa hapaishi mtu huku barabara ya lami ikiwa under construction mnasema Tanzania hatuna barabara za lami?
 
Ndani ya miezi mitatu tumekusanya Tsh 7.79 sawa na $2,858,715,541.30 Tunakuja kwa kasi sana.

View attachment 3112959
Tumeshawapita wakundustan kwenye revenue collections GDP fake inapumulia mirija

20241002_142208.jpg
 
Endelea kujifurahisha,border zote upande wa ukunyan ni takataka,kule taveta most of kunyan matibabu,chakula yan mahitaji mengi ya kibinadamu wanayapata holili upande wa TZ,kama hapo rongai ukunyan ni vumbi tupu halafu unadai ni pori
Ebu tuonyeshe customs office hapo? Ukipata nafunga hii account. 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom