Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Standards of living sio ukubwa wa mji na hii kauli sijaja nayo wakati huu. Ni jambo linalojulikana kwamba kilimanjaro province ina highest standards of living Tanzania. Tofautisha standards of living na infrastructural development. Mfano, hapa Kenya Nairobi ndiyo iliyo na highest GDP, highest GDP per capita na most infrastructural development ila haijawai kuwa top ikija kwa standards of living. Utakuwa mjinga kudhani Dar ndio ina highest standards of living hapo Bongolala. Na sio eti nimesema mpo juu, Yani Kilimanjaro ipo juu hapo bongolala tu. Hii hapa Moshi

View attachment 3112527
Hujui kitu. Na hapo ni wapi maana toka uweke Mboya hatuamini picha tena.

Wapi hapo?
 
Hujui kitu. Na hapo ni wapi maana toka uweke Mboya hatuamini picha tena.

Wapi hapo?
What about Mboya? Mboya ndio mnyama Gani?
Mnaukataa mji wenu🤣🤣🤣
Anyway, I realized many Kenyans own businesses in Tanzania. This guesthouse here called Isiolo is owned by a Kenyan.
1000334501.jpg
 
Kundustan Propaganda. Zikishukia Kenya zitaingia Tanzania bila kodi!?
Acheni cheap propaganda.
Hiyo ni page ya Tanzania na hao ni Watanzania wanaochangia. Sasa Wakenya tunaingilia wapi? Yani kwenu Kila kitu ni propaganda za Kenya. Siwezi shangaa unalaumu propaganda za Kenya kwa kukosa kazi.🤣🤣
 
Hiyo ni page ya Tanzania na hao ni Watanzania wanaochangia. Sasa Wakenya tunaingilia wapi? Yani kwenu Kila kitu ni propaganda za Kenya. Siwezi shangaa unalaumu propaganda za Kenya kwa kukosa kazi.🤣🤣
Any person can start page and name it Tanzania. Kwahiyo hao watanzani ni wafanyakazi wa bandari za Kenya?

Also Tanzania ipo na more than 500 bus companies.
 
Back
Top Bottom