Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

na ndo maana nimekuambia huna hela, hela sio kuwa na cash mkononi bali kuwa na asset na mzunguko tu ambao utakufanya kuendelea kupata pesa. ila kwa sababu hujafanikiwa kuiliki walau 9mil ksh huwezi elewa. ila sishangai ndio maana serikali yenu inaenda kwa mfumo wa cash basis katiak kutambua matumizi na mapato
View attachment 3099087
These people wamezoea kuwa employed principles za financial quadrant hawawezi kujua.
 
sio kuargue kijinga nimekuuliza baada ya kudanganya hapa ulitegemea tumuamini hapa na issue ya kuonesha anachoingiza ni mambo yake hatujauoomba huo tunaita ni ulimbukeni conclusion yeye ni MASKINI TU HANA HELA KWA HIYO TUENDELEE NA MJADALA
Sasa hiyo picha unayoshinda ukirudia inahusikana aje na MPESA? Ametoa picha twitter ambapo aliyeipost alidhania ni ya Kenya na akakosolewa, hivi ni mara ngapi mmepost humu picha mkidhani ni za Vumbistan kumbe ni za kwengine? Sasa ulete ubishi kwa kitu kinachoonekana wazi kisa aliyepost awali alikuwa amepost picha ya Dubai akidhania ni Kenya?
 
View attachment 3099533
kwahiyo askari wenu kenya wanaanzia tsh 360,000
Unajua maana ya basic salary? Hapo kwa basic salary hajaongezwa jouse allowance, Medical Allowance n.k. Hebu tuoneshe polisi wa Tanzania anapata pesa ngapi? Maanake utakuwa unajifanya kushangaa kumbe kwenu ndio majanga zaidi.
 
Hakuna kitu nalazimisha, you are the one unalazimisha nikuwe maskini kama wewe😂😂

Sasa hiyo picha unayoshinda ukirudia inahusikana aje na MPESA? Ametoa picha twitter ambapo aliyeipost alidhania ni ya Kenya na akakosolewa, hivi ni mara ngapi mmepost humu picha mkidhani ni za Vumbistan kumbe ni za kwengine? Sasa ulete ubishi kwa kitu kinachoonekana wazi kisa aliyepost awali alikuwa amepost picha ya Dubai akidhania ni Kenya?
sawa mimi nakubaliana nawewe lakini baada ya kugundua angeifuta ili kuonesha kuwa alikosea, hiyoo imemtolea credebility , then lazima ujue mifumo ya malipo baina nchi iko tofauti, kwenye auditing malipo yoyote lazima yambatane na credible receipt, kwa ile statement aliyoileta hapa no body can verify kuwa malipo yamefanyika , na electronic receipts mara nyingi huwa na barcode ambayo ukiscan itakuletea details zote za malipo ikiwamo tarehe mnunuzi, bidhaa nunuliwa, kwa hivyo tu ndo unaweza jidhirisha kuwa malipo yamefanyika kwa kile alichopresent bado kuna ukakasi wa kuamini kuwa yale yamefanyika
 
Unajua maana ya basic salary? Hapo kwa basic salary hajaongezwa jouse allowance, Medical Allowance n.k. Hebu tuoneshe polisi wa Tanzania anapata pesa ngapi? Maanake utakuwa unajifanya kushangaa kumbe kwenu ndio majanga zaidi.
Basic salary is the fixed amount of money paid to an employee, excluding the deductions (i.e., tax contributions, benefits, insurance, etc.) and additions (i.e., bonuses, overtime pay, etc.). The rate can be stated as hourly, weekly, or annual. (baada ya makato)
na
Gross salary refers to the total employee compensation, including overtime pay, bonuses, benefits, and insurance. For both salaried and hourly employees, the calculation of gross pay is based on the agreed amount of base pay(kabla ya makato}
 
Unajua maana ya basic salary? Hapo kwa basic salary hajaongezwa jouse allowance, Medical Allowance n.k. Hebu tuoneshe polisi wa Tanzania anapata pesa ngapi? Maanake utakuwa unajifanya kushangaa kumbe kwenu ndio majanga zaidi.
hakuna anayeshangaa wewe leta link ya gross pay ikiwa tofauti mimi ni nani nibishe
 
Niluambie kitu Teargas. Shida kubwa ya Kenya ni kukosa uongozi bora. Kenya inapenda kuchukua concepts za dunia iliyoendelea na kutaka ku replicate hapa Africa wakati mazingira ni tofauti kabisa hivyo unakuta projects nyingi zina stall.
As Africans we need home grown solutions to our problem and develop what is feasible to our african environment. Tulifika level za juu za maendeleo ndio tutaweza sasa ku adapt first world concept hapa nyumbani.
 
huu ndo ukweli, sisi bado sana kwenye masuala ya kukimbizana na haya mambo, hiyo hela ilipaswa tungewekeza kwenye irrigation schemes karibia nchi nzima,kuhakikisha tunakuwa na umeme na kuwekeza sana kwenye elimu. tukishakuwa na manpower automatically viwanda na hiyo miji itajileta tu
 
Unajua maana ya basic salary? Hapo kwa basic salary hajaongezwa jouse allowance, Medical Allowance n.k. Hebu tuoneshe polisi wa Tanzania anapata pesa ngapi? Maanake utakuwa unajifanya kushangaa kumbe kwenu ndio majanga zaidi.
medical allowance, house allowance , telephone allowance, electricity allowance hizo ni fringe benefits. mnaweza mkawa level moja ya misha labda letsay TJS mmoja akawa na fringe benefits na mwingine asiwe nazo.
na malipo ya mishahara yanapotoka hayaambatani na fringe benefits kwenye batch moja ya malipo.
 
na hapa tunaongelea basic salary ujue
 
But with 30m I can earn more than that monthly if nikizungusha kwenye biashara.
Biashara there are high chances of it running at a loss. Watu wangapi wanawekeza mamilioni kwa biashara which later on the business collapses due to losses? MMF you will never experience loss.
 
Back
Top Bottom