concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Kutumia 200,000 kwa siku imekuwa kelele du angejua bill za sisi wanywaji kwa sikuHii mbona unajilezea wewe.? 😂😂😂
Kutumia 200,000 kwa siku imekuwa kelele du angejua bill za sisi wanywaji kwa sikuHii mbona unajilezea wewe.? 😂😂😂
Kila mtu anajua wewe ni fukara and you can't dispute it juu ni ukweli😂.Hii mbona unajilezea wewe.? 😂😂😂
Impala glass toka TanzaniaBuy Kenya build Kenya. All the Kenyan build buses are fitted with locally made windscreen and other window panes from Impala glass.
View attachment 3099077
Impala glass automotive is a Kenyan company Malaya hii😂😂😂Impala glass toka Tanzania
Mwambie ndio rahisi kutengeza kuliko kila kitu😂😂😂.Unaargue vitu za ujinga. Tulia and argue like someone with a brain. Mtu amekuonyesha kwa MPESA app amelipa pesa kiasi Fulani unainsist na receipt ndio ufanyie Nini? Alafu kwa hiyo hiyo app unakubaliana na balance yake yet unapinga alicholipia. Wacheni ufala
Hile bill ya Jana is half your salary.😂😂Hata chakula anachodai kalipia 10k ni sawa na 200k za Tz.
Yani utupigie kelele kwa laki mbili za kitanzania??
Makalio kweli huyu.
Mwambie ndio rahisi kutengeza kuliko kila kitu😂😂😂.
Alafu yangu nipost hiyo payment Hawa watanzania wamekuwa na hasira sana😂. Ok nimewacha kupost, sitapost tena.
Maskini utamjua Tu 🤣🤣How many of you even understand how money market works? Let alone having account in one. Kwanza I’m sure majority of Tanzanians hata hawajawaiskia something like money market na wale wenye JF wenye wameskia that name they knew it from me😂😂.
Saccos za Tanzania ni kama merry go round za Kenya, we call them digging a pit and putting your money inside, after 1 yr if you come back nothing will be added on top of whatever you saved.
Ona unavyoanza kudata😂😂😂😂😂.Hile bill ya Jana is half your salary.😂😂
That's not my Twitter handle. Again how does hiyo tweet relate to the money MPESA message I posted?View attachment 3099525
kwani huyu nani
huyu ni maskini tu. ukiona mtu analazimisha umuone ana hela jua ni maskini tu, ukiona anaweka details za transactions zake kwenye mitandao jua kabisa hana hela maana ukiwa na hela lazima ujue kuexpose tu transaction zako unakuwa kwenye risk ya kufatiliwa na wezi wa kimtandao.Maskini utamjua Tu 🤣🤣
We all know Clinical officer's salary in Tanzania ni 20k, yesterday I spend 20k kwa hoteli. Tell me if that's not half your salary 😂😂😂Ona unavyoanza kudata😂😂😂😂😂.
Nusu ya sita ni mbili!??
Tulizana kijana wacha papara.
sio twitter yako but posted saying "kenya kuna hela" ukimaanisha kuwa origin yake ni kenya. kwahiyo unakubali sio kenya hapa sio nifute assumption zangu?That's not my Twitter handle. Again how does hiyo tweet relate to the money MPESA message I posted?
Ushaanza kudata sio bure.We all know Clinical officer's salary in Tanzania ni 20k, yesterday I spend 20k kwa hoteli. Tell me if that's not half your salary 😂😂😂
We all know Clinical officer's salary in Tanzania ni 20k, yesterday I spend 20k kwa hoteli. Tell me if that's not half your salary 😂😂😂
Hakuna kitu nalazimisha, you are the one anayelazimisha nikuwe maskini kama wewe😂😂ukiona mtu analazimisha umuone ana hela
Ingekuwa ya kundustan hii tungeimbiwa mapambio ya daily dose decade nzima hapa 🤣🤣🤣🤣
Hako kanyang’au kalishadata kitambo😎😂😁Ushaanza kudata sio bure.
Ushaanza kudata sio bure.