Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
sawa mimi nakubaliana nawewe lakini baada ya kugundua angeifuta ili kuonesha kuwa alikosea, hiyoo imemtolea credebility , then lazima ujue mifumo ya malipo baina nchi iko tofauti, kwenye auditing malipo yoyote lazima yambatane na credible receipt, kwa ile statement aliyoileta hapa no body can verify kuwa malipo yamefanyika , na electronic receipts mara nyingi huwa na barcode ambayo ukiscan itakuletea details zote za malipo ikiwamo tarehe mnunuzi, bidhaa nunuliwa, kwa hivyo tu ndo unaweza jidhirisha kuwa malipo yamefanyika kwa kile alichopresent bado kuna ukakasi wa kuamini kuwa yale yamefanyika
Sasa unataka nikuonyeshe receipt nani atakuja kuniaudit? Auditing is done on the seller and they remained with their receipt, sasa mimi mbona unataka nikuonyeshe receipt?kwenye auditing malipo yoyote lazima yambatane na credible receipt,
Bar code iko na details zangu and that’s why I covered it. So in short you don’t trust MPESA receipt?😂😂kwa ile statement aliyoileta hapa no body can verify kuwa malipo yamefanyika , na electronic receipts mara nyingi huwa na barcode ambayo ukiscan itakuletea details zote za malipo ikiwamo tarehe mnunuzi, bidhaa nunuliwa, kwa hivyo tu ndo unaweza jidhirisha kuwa malipo yamefanyika kwa kile alichopresent bado kuna ukakasi wa kuamini kuwa yale yamefanyika