Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1726676899142.png
 
Biashara there are high chances of it running at a loss. Watu wangapi wanawekeza mamilioni kwa biashara which later on the business collapses due to losses? MMF you will never experience loss.
Yeah hata hela uliyoweka kwa saccos or bank can be affected by currency depreciation na central banks rates or economic downturn.
A good investment iko kwenye real estate sio biashara ya kuuza maandazi.
 
And that’s why it’s safe either invest in Saccos, MMF, bonds, stock market, etc.

Biashara inaezakulamba vibaya sana.
Hata hizo bonds mkuu ni shida pia. Mfano umeweka bond yako wakati ksh was 99 to a dollar na ksh ika depreciate to 150 to a dollar kama last time ilivyotokea wewe utapata faida gani hapo?
In money markets you have no control of your money and its safety you can loose hela maramoja.
 
Unaargue vitu za ujinga. Tulia and argue like someone with a brain. Mtu amekuonyesha kwa MPESA app amelipa pesa kiasi Fulani unainsist na receipt ndio ufanyie Nini? Alafu kwa hiyo hiyo app unakubaliana na balance yake yet unapinga alicholipia. Wacheni ufala
Screenshot_20240916_212322_X.jpg

Msaidie kwanza kujibu ile gari iliyokua inashushwa kwenye ndege ilikua jkia au dubai?
 
Back
Top Bottom