Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania watakuambia ati we import everything we use to make buses in Kenya.

Impala Glass automotive manufacturing window glasses for all vehicles produced in Kenya.

1726605056779.jpeg

1726605172164.jpeg
 
Mtanzania atakuambia ati we import everything on our Kenyan made buses.

1726605713088.jpeg
 
Watanzania najua hamna Saccos kwenu😂😂🤣


View: https://x.com/TheAbojani/status/1835635739104620705

Tatizo lenu no dharau, sasa hapo juu kuna kitu gani kipya hapo? Labda namba ya MMF companies mnatuzidi ila zipo za kutosha, mpaka a halal one

Sacco's huku ni vikoba, uliza uambiwe. Halafu hizo MMF mnaziuza kama safe investments, yani 100%safe........
Na haya madeni yenu,acha tuone siku bomu likiripuka.
 
Kwa your mobile wallet najua hata huna Ksh 1,000😂😂😂.

MPESA huku Kenya ni mobile wallet na kazi yake kuu ni ya temporarily keeping emergency money. Majority of money people keep kwa Saccos and MMF. Alafu sasa how come unakubaliana na hiyo MPESA balance lakini payment ya 10,000 kwa hoteli unapinga?😂😂🤣😂

Lakini nimependa sana vile nimekutesa😂😂🤣
Hawa huwa wanakubaliana na wanachokitaka kuskia, sio ukweli.😂
Mwambie akuonyeshe MPESA balance yake uskie hadithi.😂
 
Back
Top Bottom