Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sishangai Haya maneno kwasababu yanatoka kwenye kinywa cha maskini mpanda matatu 😂😂
Everybody in this forum knows you the most poorest member. Kila mtu anakudharau. Wewe endelea kuuzia mwarabu simu ulipwe 5k per month.
 
Hawa huwa wanakubaliana na wanachokitaka kuskia, sio ukweli.😂
Mwambie akuonyeshe MPESA balance yake uskie hadithi.😂
sio kwamba tunapinga kila kitu ila huyu mwenzio hana credility ya kusema tumuamini, au nawewe unakubaliana hapa ni Nairobi?
1726650854884.png

tujaribu kuwa realistic,
ukileta vitu credible atakayekupinga basi kaamua tu. wengine tumekaa huko so we have alot friends, kuna sectors mmedevelop sana na hiii inatokana kuwa mwanzoni mlikuwa capitalist.
kukuassure to wengine tulikuwa the early student in 1993 kuingia lukenya academy ambayo sasa hiv wana mpaka university kipindi hicho martha murwa akiwa very functional mpaka kipindi erick murwa her last born anafariki tuko . kwa hiyo tunaijua kenya geographically and till today we still own house in athi river.
 
huyo mtu wako hana credebility ndo maana haaminiki, ishu ya cashles sio kigezo cha kuleta forgery. that statement is no credible.
Unaargue vitu za ujinga. Tulia and argue like someone with a brain. Mtu amekuonyesha kwa MPESA app amelipa pesa kiasi Fulani unainsist na receipt ndio ufanyie Nini? Alafu kwa hiyo hiyo app unakubaliana na balance yake yet unapinga alicholipia. Wacheni ufala
 
Wewe baboon mambo vipi. I just invested this today morning in a MMF account.

Again you can't brag of what you don't have😂😂
View attachment 3099328
View attachment 3099333
hapo production capacity ya unga ni 1720 sacks za 25kg . na pumba ni 210 sacks za 80kg ambayo inauzwa tsh 22500 kwa sack= 4,725,000= ksh 225,000 hii pesa inatoka kwenye pumba tu sasa hiyo hela yako inaingia mara ngapi kwenye earning yangu kwa siku. nIMEKUAMBIA HUNA HELA
 
Attachments

  • teargas.mp4
    5.5 MB
Unaargue vitu za ujinga. Tulia and argue like someone with a brain. Mtu amekuonyesha kwa MPESA app amelipa pesa kiasi Fulani unainsist na receipt ndio ufanyie Nini? Alafu kwa hiyo hiyo app unakubaliana na balance yake yet unapinga alicholipia. Wacheni ufala
sio kuargue kijinga nimekuuliza baada ya kudanganya hapa ulitegemea tumuamini hapa na issue ya kuonesha anachoingiza ni mambo yake hatujauoomba huo tunaita ni ulimbukeni conclusion yeye ni MASKINI TU HANA HELA KWA HIYO TUENDELEE NA MJADALA
 
Unaargue vitu za ujinga. Tulia and argue like someone with a brain. Mtu amekuonyesha kwa MPESA app amelipa pesa kiasi Fulani unainsist na receipt ndio ufanyie Nini? Alafu kwa hiyo hiyo app unakubaliana na balance yake yet unapinga alicholipia. Wacheni ufala
Unaargue vitu za ujinga. Tulia and argue like someone with a brain. Mtu amekuonyesha kwa MPESA app amelipa pesa kiasi Fulani unainsist na receipt ndio ufanyie Nini? Alafu kwa hiyo hiyo app unakubaliana na balance yake yet unapinga alicholipia. Wacheni ufala
Hawez aminika kila kitu kinaweza tengenezwa. Nimekupa mfano wa kitu alichoforge hapa, sasa nawewe unataka nimuamini kwa sababu yeye kapost tu. HANA HIYO CREDIBILITY KWA SABABU MPAKA LEO AMEENDELEA KUSEMA HAPA NI KENYA. nyinyi ndo muache ufala kwa kulazimisha tuukubali uongo wenu. anyway basi amelipa yeye ana hela saaaaaana
1726654110521.png
 
Back
Top Bottom